James Mbatia: Hakuna Chama kiranja wa vingine

James Mbatia: Hakuna Chama kiranja wa vingine

jamaa hua ana pointi, sio kama hawa wengine yaani ukiwauliza kwanini wanagombea wanasema kuitoa ccm madarakani hawana sera yaani wao kuitoa ccm madarakani ndo pointi yao

Kichekesho sasa waulize ccm kwanini wanalazimisha kukaa madarakani, wanasema wao watatawala milele! Hapo ccm wamefunga ukurasa wa point!
 
New born TLP.. Mbatia an awatia aibu sana Wachagga. Mrema ana ondoka kwenye siasa ana tuachia pandikizi jingine..
Tena hili ni balaa zaidi maana lina waharibu hata wapinzani wengine.
 
Ati tume ya uchaguzi inasemwa vibaya halafu hapo hapo una ndoto mkishinda kuleta katiba mpya. Katiba mpya ya nini sasa kama iliyopo unaiona iko poa na watu wasizungumze mabaya yake?

Kusema ukweli ubunge pale Vunjo sahau kabisa. Nilishawahi sema wewe ni liability huwezi kusimama wewe kama wewe
Ubunge wa kwanza uliupata kwa mgongo wa Mrema na uliokua nao kwa sasa uliupata kwa mgongo wa ukawa/chadema kukupisha bila kuweka mgombea.

Sasa ahadi uliyoahidiwa na sisiem kwa sasa itakulambisha ardhi kama ilivyofanyika kwa Mrema baada ya kurudi sisiem kiwazi tofauti na alivyowaaminisha watu kuwa ni mpinzani.
 
Mbatia acha kuwadanganya Watanzania. Unajua uchafu na dhuluma unayoifanya.

Unatumia pesa ya walipa kodi kuhonga watu wahame vyama lengo ni kudhoofisha upinzani. Iko hivi hakuna mwenye nia njema na wananchi wote ni wapiga deal. Si upinzani si watawala nia yenu ni moja 'mkwanja.
OVA
 
Hakuna siasa nchi hii kama CHADEMA haizungumzwi.
 
jamaa hua ana pointi, sio kama hawa wengine yaani ukiwauliza kwanini wanagombea wanasema kuitoa ccm madarakani hawana sera yaani wao kuitoa ccm madarakani ndo pointi yao
Mbatia ni zaidi ya Jiwe
 
Mbatia acha kuwadanganya Watanzania. Unajua uchafu na dhuluma unayoifanya.

Unatumia pesa ya walipa kodi kuhonga watu wahame vyama lengo ni kudhoofisha upinzani. Iko hivi hakuna mwenye nia njema na wananchi wote ni wapiga deal. Si upinzani si watawala nia yenu ni moja 'mkwanja.
Acha uongo ww! unao ushahidi wa kuonyesha Mbatia ana wapa pesa wanaojiunga Nccr!
Wakati viongozi wa Nccr walipokuwa wanahamia Chadema Mbowe aliwapa kiasi gani cha fedha!
Au ndo ule msemo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!
 
Unabisha nn mkuu ?? Hela inatolewa tena bila kificho...jitahidi cku moja nenda kwenye vikao vyao utajionea
 
Ni chama gani kitaingia madarakani kisitekeleze chochote?

sasa we unadhan wananchi hawataki kujua mtatekeleza nn? agenda kuu ya chama ndo inaowapa wananchi motisha ya kuwapa nafasi, mpaka leo sjui chadema agenda yao kuu ni nn zaidi ya kuwasema ccm tu, badilishen mwelekeo!!! we ulishawahi kuona nccr wanatumia nguvu nyingi kuwachafua watu? watu wanakomaa na AGENDA yao , siasa yenye utulivu! sasa nyie agenda yenu kuu ni nn? nini dhumuni la kuwepo kwa chadema tanzania? mm kama mwananchi nafaidika vp na kuwepo na chadema katika hii nchi? mm sina haja ya kuskia mtu ameanguka kwenye ngazi
 
Back
Top Bottom