Mbatia wewe ni nembo ya Upinzani usituangushe, isimamie Serikali kwa uzalendo wako usikubali kutumikia Mabeberu kama kile chama kipo Ufipa.
jamaa hua ana pointi, sio kama hawa wengine yaani ukiwauliza kwanini wanagombea wanasema kuitoa ccm madarakani hawana sera yaani wao kuitoa ccm madarakani ndo pointi yao
Mbatia wewe ni nembo ya Upinzani usituangushe, isimamie Serikali kwa uzalendo wako usikubali kutumikia Mabeberu kama kile chama kipo Ufipa.
Kichekesho sasa waulize ccm kwanini wanalazimisha kukaa madarakani, wanasema wao watatawala milele! Hapo ccm wamefunga ukurasa wa point!
na sisi ndio tunawasapot kwa sababu wanatekeleza
OVAMbatia acha kuwadanganya Watanzania. Unajua uchafu na dhuluma unayoifanya.
Unatumia pesa ya walipa kodi kuhonga watu wahame vyama lengo ni kudhoofisha upinzani. Iko hivi hakuna mwenye nia njema na wananchi wote ni wapiga deal. Si upinzani si watawala nia yenu ni moja 'mkwanja.
Bora Magufuli kuliko hilo linafkiMbatia anafaa kwa Urais ni chaguo ma Mungu 2020.
Mbatia ni zaidi ya Jiwejamaa hua ana pointi, sio kama hawa wengine yaani ukiwauliza kwanini wanagombea wanasema kuitoa ccm madarakani hawana sera yaani wao kuitoa ccm madarakani ndo pointi yao
Ha ha ha ha bia yangu bhanaMbatia wewe ni nembo ya Upinzani usituangushe, isimamie Serikali kwa uzalendo wako usikubali kutumikia Mabeberu kama kile chama kipo Ufipa.
Acha uongo ww! unao ushahidi wa kuonyesha Mbatia ana wapa pesa wanaojiunga Nccr!Mbatia acha kuwadanganya Watanzania. Unajua uchafu na dhuluma unayoifanya.
Unatumia pesa ya walipa kodi kuhonga watu wahame vyama lengo ni kudhoofisha upinzani. Iko hivi hakuna mwenye nia njema na wananchi wote ni wapiga deal. Si upinzani si watawala nia yenu ni moja 'mkwanja.
Unabisha nn mkuu ?? Hela inatolewa tena bila kificho...jitahidi cku moja nenda kwenye vikao vyao utajioneaAcha uongo ww! unao ushahidi wa kuonyesha Mbatia ana wapa pesa wanaojiunga Nccr!
Wakati viongozi wa Nccr walipokuwa wanahamia Chadema Mbowe aliwapa kiasi gani cha fedha!
Au ndo ule msemo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!
Ni chama gani kitaingia madarakani kisitekeleze chochote?