GE2025 James Mbatia: Je, leo hii damu inamwagika kwa ajili ya Madaraka tu? ni laana kwa Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwanasiasa na Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia akizunguzma leo Novemba 5, 2025 ametoa Pole kwa Taifa kwa vifo vya kikatili vilivyotokea Oktoba 29, 2025 wakati wa Maandamano nchini.

Pia amesikitishwa na hali ya kisiasa inayoendelea nchini ambayo imekuwa ya kumwaga damu jambo ambalo ni kinyume na historia ya Taifa iliyopata uhuru wake kwa njia ya amani bila kumwaga damu

Soma pia GE2025 - James Mbatia asisitiza "Tupeni miili ya vijana wetu tuwazike"

Samia angefanya reforms bado angeshinda lakini kwa margin ndogo lakini ushindi wake ungekuwa na heshima kubwa lakini kwa kiburi amejichagua na kujiapisha kwa ushindi wa 98% uliojaa damu za watu wasiokuwa na hatia. Samia Suluhu Hassan amechagua laana badala ya baraka na heshima.
 
Mama yetu alikuwa na chance kubwa tu lakini sijui nani aliyemponza. Kama mama angeweza kuacha Legacy kubwa kuwa mwanamke aliyeongoza nchi na kuiacha salama. Pia ni muislamu safi kabisa. Vyote hivyo vingempa kuheshimiwa kitaifa na kimataifa. Inasikitisha. Pole wote walioumizwa na haya ambayo hatukutegemea kama taifa tungefika hapa. Wale waliotangulia mbele za haki Mungu awakumbuke maana hata sisi tutaelekea hukohuko. Kutafute jinsi ya kurejesha nchi katika umoja tuliokuwa nao na tukumbuke kuwa tuna mda mchache sana hapa duniani na vyote tunavyovipigania tutaviacha. Tulizaliwa tukiwa uchi na tutaondoka tukiwa uchi. Mungu ninakuomba uiponye nchi yangu nzuri Tanzania. Tupe mioyo ya kupendana na kuvumiliana.
 
Mama yako wew na nani?
 
Hakuhitaji kuua wananchi kubali madarakani. Hakuhitaji tuteka wapinzani

Most people were CCM anyways so it's baffling kwanini kaamua kuchukua the evil route. Sahivi her name is forever tainted in history

The most avoidable violence I've ever seen. Whoever is telling her to do this really didn't help her at all.
 
Hamjui tu huyu maza alitaka alipe kisasi cha wazanzibar cha 2001 habari ndio hyooo
 
Back
Top Bottom