Mama yetu alikuwa na chance kubwa tu lakini sijui nani aliyemponza. Kama mama angeweza kuacha Legacy kubwa kuwa mwanamke aliyeongoza nchi na kuiacha salama. Pia ni muislamu safi kabisa. Vyote hivyo vingempa kuheshimiwa kitaifa na kimataifa. Inasikitisha. Pole wote walioumizwa na haya ambayo hatukutegemea kama taifa tungefika hapa. Wale waliotangulia mbele za haki Mungu awakumbuke maana hata sisi tutaelekea hukohuko. Kutafute jinsi ya kurejesha nchi katika umoja tuliokuwa nao na tukumbuke kuwa tuna mda mchache sana hapa duniani na vyote tunavyovipigania tutaviacha. Tulizaliwa tukiwa uchi na tutaondoka tukiwa uchi. Mungu ninakuomba uiponye nchi yangu nzuri Tanzania. Tupe mioyo ya kupendana na kuvumiliana.Samia angefanya reforms bado angeshinda lakini kwa margin ndogo lakini ushindi wake ungekuwa na heshima kubwa lakini kwa kiburi amejichagua na kujiapisha kwa ushindi wa 98% uliojaa damu za watu wasiokuwa na hatia. Samia Suluhu Hassan amechagua laana badala ya baraka na heshima.
Mama yetu alikuwa na chance kubwa tu lakini sijui nani aliyemponza. Kama mama angeweza kuacha Legacy kubwa kuwa mwanamke aliyeongoza nchi na kuiacha salama. Pia ni muislamu safi kabisa. Vyote hivyo vingempa kuheshimiwa kitaifa na kimataifa. Inasikitisha. Pole wote walioumizwa na haya ambayo hatukutegemea kama taifa tungefika hapa. Wale waliotangulia mbele za haki Mungu awakumbuke maana hata sisi tutaelekea hukohuko. Kutafute jinsi ya kurejesha nchi katika umoja tuliokuwa nao na tukumbuke kuwa tuna mda mchache sana hapa duniani na vyote tunavyovipigania tutaviacha. Tulizaliwa tukiwa uchi na tutaondoka tukiwa uchi. Mungu ninakuomba uiponye nchi yangu nzuri Tanzania. Tupe mioyo ya kupendana na kuvumiliana.
Mama yako wew na nani?Mama yetu alikuwa na chance kubwa tu lakini sijui nani aliyemponza. Kama mama angeweza kuacha Legacy kubwa kuwa mwanamke aliyeongoza nchi na kuiacha salama. Pia ni muislamu safi kabisa. Vyote hivyo vingempa kuheshimiwa kitaifa na kimataifa. Inasikitisha. Pole wote walioumizwa na haya ambayo hatukutegemea kama taifa tungefika hapa. Wale waliotangulia mbele za haki Mungu awakumbuke maana hata sisi tutaelekea hukohuko. Kutafute jinsi ya kurejesha nchi katika umoja tuliokuwa nao na tukumbuke kuwa tuna mda mchache sana hapa duniani na vyote tunavyovipigania tutaviacha. Tulizaliwa tukiwa uchi na tutaondoka tukiwa uchi. Mungu ninakuomba uiponye nchi yangu nzuri Tanzania. Tupe mioyo ya kupendana na kuvumiliana.