James Mbatia: Mtume Muhammad (SAW) anatuusia "Ukiona uovu zuia, kemea au onesha chuki"

James Mbatia: Mtume Muhammad (SAW) anatuusia "Ukiona uovu zuia, kemea au onesha chuki"

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
November 8, 2019
Dodoma, Tanzania

Katika kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. James Mbatia mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi aelezea hali ya kisiasa na kujamii inayoendelea nchini chini ya serikali ya CCM awamu ya tano kulinganisha na falsafa ya Muasisi wa CCM Mwl. Nyerere juu ya ili nchi iendelee na pia amani iwepo vitu vifuatavyo bado ni muhimu kwa Taifa yaani Uongozi bora, siasa safi, watu walioshirikishwa ktk hatua zote na ardhi.



Source: Global TV online
 
bagamoyo,
Kwahiyo chuki imeruhusiwa na maandiko?
Hii ndio nukuu yenyewe "Whoever among you sees an evil action, let him change it with his hand [by taking action]; if he cannot, then with his tongue [by speaking out]; and if he cannot, then with his heart [by at least hating it and believing that it is wrong], and that is the weakest of faith (Muslim)
 
hatari sana haya maandiko
Ukiona jambo baya linatendeka au limetendeka liondoe kwa mikono yako ukishindwa liondoe kwa ulimi wako ukishindwa lichukie.
N.b. sio kupeleka ulimi uliondoe bali uamrishe/ukemee.
 
November 8, 2019
Dodoma, Tanzania

Katika kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. James Mbatia mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi aelezea hali ya kisiasa na kujamii inayoendelea nchini chini ya serikali ya CCM awamu ya tano kulinganisha na falsafa ya Muasisi wa CCM Mwl. Nyerere juu ya ili nchi iendelee na pia amani iwepo vitu vifuatavyo bado ni muhimu kwa Taifa yaani Uongozi bora, siasa safi, watu walioshirikishwa ktk hatua zote na ardhi.



Source: Global TV online

Takbiiiiiiiiirrrr !!!
 
Back
Top Bottom