Kwahiyo chuki imeruhusiwa na maandiko?!
Hatua kivipi?.....hamuwezi kusamehe " bure"Haijaruhusiwa, mpaka ifike hapo kuna hatua.
ni udhaifu kuendelea kulichukia tatizo bila ya kuchukua hatua za kupambana nalo ndio maana chukizo ndani ya nafsi yako likawa mwisho.Kwahiyo chuki imeruhusiwa na maandiko?!
Nafikiri ni muda sasa wa katili kuwasamehe anao wafanyia ukatili Mara kwa MaraHatua kivipi?.....hamuwezi kusamehe " bure"
Hii ndio nukuu yenyewe "Whoever among you sees an evil action, let him change it with his hand [by taking action]; if he cannot, then with his tongue [by speaking out]; and if he cannot, then with his heart [by at least hating it and believing that it is wrong], and that is the weakest of faith (Muslim)bagamoyo,
Kwahiyo chuki imeruhusiwa na maandiko?
Bwana Mtume SAW anasema ukiliona Jambo baya linatendeka, fanya haya;Nafikiri ni muda sasa wa katili kuwasamehe anao wafanyia ukatili Mara kwa Mara
hatari sana haya maandikobagamoyo,
Kwahiyo chuki imeruhusiwa na maandiko?
Udini wake uko wapi?Mbatia ameanza udini ,au siku hizi amekuwa shekhe wa madrasa hapo himo
State agent agent
Ukiona jambo baya linatendeka au limetendeka liondoe kwa mikono yako ukishindwa liondoe kwa ulimi wako ukishindwa lichukie.hatari sana haya maandiko
Takbiiiiiiiiirrrr !!!November 8, 2019
Dodoma, Tanzania
Katika kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. James Mbatia mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi aelezea hali ya kisiasa na kujamii inayoendelea nchini chini ya serikali ya CCM awamu ya tano kulinganisha na falsafa ya Muasisi wa CCM Mwl. Nyerere juu ya ili nchi iendelee na pia amani iwepo vitu vifuatavyo bado ni muhimu kwa Taifa yaani Uongozi bora, siasa safi, watu walioshirikishwa ktk hatua zote na ardhi.
Source: Global TV online
Udini wake uko wapi?
Nasikia huyu ni wale kina Delicious wa miaka ile
Duh!Nasikia mlikua mnafanya wote hizo shughuli kabla haujastaafu.