GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika kipindi cha CLOUDS 360 cha Clouds TV amesema kuwa UKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu.
Pia James Mbatia amekana kuwa chama chake sio CCM B kama inavyosemwa na watu wengi bali chama chake ni chama cha kimageuzi chenye lengo la kuitoa CCM madarakani, hivyo hakiwezi kuwa na ushirika na CCM kabisa.
Pamoja na mengi aliyozungumza, pia James Mbatia amewahakikishia ushindi mnono sana wa majimbo wana NCCR-MAGEUZI wote.