SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nguruwe wa CCM wapumbavu sanaafu ukiwa ccm unaona tatizo ni Mbowe af chadema hawalion inafikirisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguruwe wa CCM wapumbavu sanaafu ukiwa ccm unaona tatizo ni Mbowe af chadema hawalion inafikirisha sana
Atapeqa hata wa viti maarumHahah na Mbatia hawezi kushinda Vunjo. Hata afanyeje.. ndio kwisha habari yake.
Mbowe amekikiposha chama pesa, naona ndiyo maana anataabika kufanya marejesho, lakini ni kweli eti amekikopesha chama?Chadema wahuni sana linapokuja suala la pesa ,hasa Mbowe
Habari ya mjini sasa ni kuondokana na NDULI MAGU.Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti wao. Jamaa kigeu geu sana. Sometimes inafikirisha kama ni mpinzani wa kweli. Maana amekuwa mtu wa kuwapa CCM points katika vile vipindi muhimu vya maamuzi, Since sakata la Zitto 2014 mpaka leo hii 2020 Mwenyekiti anarudisha nyuma sana CDM/upinzani kwa ujumla kwa vituko vyake.