James Mbatia: UKAWA ilituachia mzigo wa kulipa deni la Tsh. milioni 91 huku wakijua tuna mbunge mmoja tu

James Mbatia: UKAWA ilituachia mzigo wa kulipa deni la Tsh. milioni 91 huku wakijua tuna mbunge mmoja tu

Mbatia unaona zoezi lako la kununua wanaChadema linakusumbua unakuja kulilia huruma ya WaTz. Endelea kununua watu bwuaaaana
Vikao vyako Kawe na ulipaji pesa za sisiem vinajulikana. Kwa maelezo mafupi mrudie Mungu wako Unalolifanya ni dhuluma kubwa kwa WaTz.
WaTz wengi wanazidi kuwa maskini kwa tamaa zenu na ubinafsi wenu
Pesa ilimua Yesu
Mbatia yana mwisho hapo unayofanya.
Pesa ya kulipa deni umepewa na sisiem kelele za nini
 
Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti wao. Jamaa kigeu geu sana. Sometimes inafikirisha kama ni mpinzani wa kweli. Maana amekuwa mtu wa kuwapa CCM points katika vile vipindi muhimu vya maamuzi, Since sakata la Zitto 2014 mpaka leo hii 2020 Mwenyekiti anarudisha nyuma sana CDM/upinzani kwa ujumla kwa vituko vyake.
Habari ya mjini sasa ni kuondokana na NDULI MAGU.
 
Pengine NCCR-Mageuzi sio CCM-B kweli, ila kulikoni ziara zake zilianza ghafla baada ya mazungumzo na M/kiti wa CCM Ikulu? Kulikoni katika ile ziara yake ya kwanza alipokelewa na RC wa Mbeya na kuahidiwa ulinzi & ushirikiano? Uwezo wa fedha kuendesha vikao na kupokea wabunge toka vyama vingine kabla hata ya kumaliza muda wao wa u-Bunge ulitoka wapi ghafla? Maswali ni mengi bado wadau wengine wataongeza
 
Back
Top Bottom