Mwambie mzee Lyatonga Mrema anamsubiri jimboni Vunjo!
Naunga mkono hoja, point hii, ila wafuasi wake wamepigwa upofu hawaoni hilo ni mpaka wakifukuzwa uwanachama ndiyo wanaanza kuropoka yale ya ndani, sasa sijui wanamuogopa sana mwenyekiti wao kumkosoaTatizo la CHADEMA ni mwenyekiti wao. Jamaa kigeu geu sana. Sometimes inafikirisha kama ni mpinzani wa kweli. Maana amekuwa mtu wa kuwapa CCM points katika vile vipindi muhimu vya maamuzi, Since sakata la Zitto 2014 mpaka leo hii 2020 Mwenyekiti anarudisha nyuma sana CDM/upinzani kwa ujumla kwa vituko vyake.
NCCR ni pure CCM kwa matendo na mbeleko.Mbatia we kula pesa za ccm punguza sauti.Ya kupewa na CCM sawa. NCCR ni mchepuko wa CCM
We ndiyo hujasikilizaHilo deni lilitokana na nini?!
Mbona hao makanjanja huko Clouds hawaulizi maswali ya msingi?
Kama kweli hao waandishi wana akili, wangeuliza hivi, kwanini hilo deni aliseme sasa hivi? Kwanini alikubali deni la 91m huku akijua wako na mbunge mmoja tu? Huu ni utoto na siasa za kipuuzi sana, hakika nimeamini kila mtu ana price tag yake, not Mbatia ninayemjuaUKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu.
afu ukiwa ccm unaona tatizo ni Mbowe af chadema hawalion inafikirisha sanaTatizo la CHADEMA ni mwenyekiti wao. Jamaa kigeu geu sana. Sometimes inafikirisha kama ni mpinzani wa kweli. Maana amekuwa mtu wa kuwapa CCM points katika vile vipindi muhimu vya maamuzi, Since sakata la Zitto 2014 mpaka leo hii 2020 Mwenyekiti anarudisha nyuma sana CDM/upinzani kwa ujumla kwa vituko vyake.
Kama alivyo mwenyekiti wetu wa ccm,ni yeye anayeamua nani agombee,na nani asigombee ubunge.Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti wao. Jamaa kigeu geu sana. Sometimes inafikirisha kama ni mpinzani wa kweli. Maana amekuwa mtu wa kuwapa CCM points katika vile vipindi muhimu vya maamuzi, Since sakata la Zitto 2014 mpaka leo hii 2020 Mwenyekiti anarudisha nyuma sana CDM/upinzani kwa ujumla kwa vituko vyake.
Wewe uliyesikiliza tuwekee hiyo sababu.We ndiyo hujasikiliza
Hao clouds na yeye huyo ndiyo walewaleHilo deni lilitokana na nini?!
Mbona hao makanjanja huko Clouds hawaulizi maswali ya msingi?
Jamaa alijaribu kutafuta wanachama wa kununua akawakosa, leo nimemsikia anasema siasa ni akili kama nywele kila mtu ana zake!.