Upload/pandisha, tuyaone uzito wake?!Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!
Siwez kuamin na hujaweka proof ambayo ungeweza kuiwekakwamba huamini au?
Hujasema kwa hisani ya mtu wa Tanzania!Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!
Uko sahihi Mkuu!Sisi tunajadili masuala ya Chadema, Hatujadili masuala ya watu binafsi
Sasa kwann umefungua uzi na hukua na mpango wa kuhabarisha umma fully??nikiweka ndio utaamini?..basi hebu umiza kichwa ..google au tumia Jamii Check
Isije ikawa milio ya kuchojolewa nje bwana Mrema.G55 inakabia juu
Umekua acha basi ujinga mkuuvipi mkuu...
Sawa.Google brother mbona ipo wazi!!