Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Uzi wa hovyo.
Hauna akili mkuu..Mimi sijui ila nimeleta hapa hapa kwenye mahakama huru ya fikra za GTs.walidhani hatujasikia
Ile CDM ya baba yake miaka 20 imeshapita , sasa tupo na Kamanda mpya Lissu.Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!
UWT acheni utapeli wenumnakataa haya clips za wanachama wenu?
Haya bhana lakini UWT sahivi mnatakiwa kujiunga kwenye vikundi maza anatoa mikopomatapeli ni ninyi mliokosa agenda
Kwahiyo masuala ya Fr. Kitima kushambuliwa ni ya Chadema? Ahahahahaha! Hapo nimeelewa.Sisi tunajadili masuala ya Chadema, Hatujadili masuala ya watu binafsi
Hamtaki tena mikopo ya vikundi?Nyie bawacha jiandaeni kwa uteuzi wa viti maalumu
Ni wale wajuaji wa mitandaoni tu. Achana nae!!Huyo jamaa uwezo wake ni mfupi sana hawa ndio wale waliingia chadema kwa mafuriko
au wewe ndo mtoto wa mbowe mwenyeweKatika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!