James Mbowe:Amesema mazito ambayo wana JF hatujajuzwa!

Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!
Ile CDM ya baba yake miaka 20 imeshapita , sasa tupo na Kamanda mpya Lissu.

No Reform ishapamba moto - mwaka huu watachaguana wao kwa wao.
 
Yule ni mjukuu wa chama ...wewe ni mfuasi tu
 
Mazito yepi tena zaidi ya fainali huko Gombani tumbatu?
 
Ni wale wajuaji wa mitandaoni tu. Achana nae!!
hata huko mtandaoni ni kwa sababu wameachwa tu hawana hoja wanajibizana na viroboti walivyovitengeneza.
Inapokuja serious discussion utaona matusi tu
 
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!
au wewe ndo mtoto wa mbowe mwenyewe
 
Back
Top Bottom