James Mbowe, babu yako kushikana mikono na Mwalimu Nyerere ndiyo sababu ya kufanya mnayofanya?

James Mbowe, babu yako kushikana mikono na Mwalimu Nyerere ndiyo sababu ya kufanya mnayofanya?

"Baba wa Taifa Julius Nyerere akisalimiana na Baba yake Mbowe Aikaeli Alfayo Mbowe Tuna Historia na Nchi hii nafikiri kipindi hiki kuna watu walikuwa wanachunga Mbuzi makwao" - James Mbowe

-Ndivyo alivyokuambia kutoka mahabusu?
-Ndivyo walivyoandika walioona wangependa kuandika?
-Umependa tu kuuliza swali kwa mtu ambaye kwa kiwango chake cha Uhuru anaopangiwa bajeti angeweza kukujibu au asipate wasaa wa kukujibu?
 
"Baba wa Taifa Julius Nyerere akisalimiana na Baba yake Mbowe Aikaeli Alfayo Mbowe Tuna Historia na Nchi hii nafikiri kipindi hiki kuna watu walikuwa wanachunga Mbuzi makwao" - James Mbowe

Kwani Mbowe kafanya nini kibaya? Tatizo nyie hamtaki kukubali kuwa hii ni nchi ya vyama vingi. Mbowe anapiga siasa akishadidia chama chake. Tatizo nyie mnadhani vyama vingine having ruhusa ya kufanya siasa. Mnamuonea sana Mbowe.
 
Back
Top Bottom