James Rocky Mwakibinga unapenda Siasa, ila Siasa haikutaki na una Nuksi za Chaguzi kila unakoenda

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma hapiti na asiwepo katika Kinyang'anyiro.

James Rocky Mwakibinga tokea nikufahamu ( na bahati mbaya au nzuri nakujua tokea ukiwa bado Mtoto ) sijawahi kuona ukigombea popote pale usipatwe na Majanga na Kubwa zaidi ni Kutokukubalika na Watu ( Wapiga Kura ) ila Wewe huwa unalazimishwa Kupendwa nao kwa Pesa zako 'Uchwara' unazopewa na Maswahiba wako akina Rais Mwinyi wa Zanzibar, Paul Makonda, Ridhiwani Kikwete, Fred Lowassa na Ben Sitta bila Kumsahau na Waziri wa Fedha Nchemba ambaye mnaiva nae mno tu.

James Rocky Mwakibinga leo hapo ( kule ) Kawe umesababisha Sintofahamu Kubwa, kuharibu Ratiba ya Uchaguzi na kuleta Malalamiko baada ya Watendaji wa CCM Kawe unaowamudu na Uliowahonga ( akiwemo huyo Mlevi Dokta Komba, Ally na Poti Poti ) ili wamtengenezee 'Zengwe' Mpinzani wako na Kipenzi cha Wapiga Kura wa Kawe Dada Nasra kuwa alianza mapema kufanya Kampeni kwa Kutumia 'Posters' zake mbalimbali wakidai ni Kinyume na Utaratibu wa CCM.

Ila hao hao Watendaji wa CCM Kawe Unaowamudu na Uliowahonga wamesahau kuwa Wewe ndiyo Kinara wa Kuhonga hovyo Pesa ili Uchaguliwe ambapo Jana uliwahonga Wajumbe ( Wapiga Kura ) Tsh 40,000/ na Leo ( Siku ya Uchaguzi ) uliwanywesha Supu Wote na kuwapa Tsh 10,000 kila Mmoja.

James Rocky Mwakibinga unapenda sana Ukubwa na Siasa ila bahati mbaya vyenyewe havikupendi na bado hujafanyia Kazi Kasoro zako za kupenda Kutishia Watu kuwa unajuana na Wakubwa hadi Marais Wastaafu, Kudharau Wakubwa zako ndani ya Chama Cha CCM, Matusi, Kejeli na Kiburi Kwao.

Rais Samia, Katibu Mkuu wa CCM na Mzee Kinana huyu James Rocky Mwakibinga ni Kirusi Hatari ndani ya CCM na endeleeni Kumlea ili azidi Kukiharibu Chama.

Mwisho GENTAMYCINE namalizia kwa Kuwaambia wana CCM Kawe ( hasa walioendesha ) Uchaguzi wa Kimizengwe Kawe leo ( pale Ian Pub ) jirani na Baa Mpya ya HIPRO kuwa Uchaguzi hapo urudiwe, Jina la huyo Dada Nasra lirudi, Utaratibu wa Haki na wa Chama ufutwe vinginevyo nitaenda 'Kuwaanikeni' nyote hapa na Madudu yenu ila Uongozi wa Juu kabisa wa CCM uwajueni na uwafuteni kabisa kwani nyie ndiyo mnakichafua Chama Cha CCM na kufanya kionekane ni cha Wahuni wakati Wastaarabu na Werevu tunaokipenda akina GENTAMYCINE tupo.

Mwakibinga hakuna mwana CCM anayekupenda na labda tu GENTAMYCINE leo nikuibie Siri kwamba 99% ya Watu ( hasa Vijana ) ambao ni Wapambe na Chawa wako hawakupendi na binafsi huwa wananiambia kuwa Wanakula tu Pesa zako kutokana na Ubwege wako na hata Leo ( Jana ) katika Uchaguzi walipanga Kukumaliza kabisa kwa Kutokupigia Kura japo Supu yako wameinywa na Hela zako wametia Kibindoni.

Achana na Siasa fanya Mambo mengine ya Kimaisha. Tumia hiyo Network Kubwa ya hawa Viongozi Waandamizi uliyonayo ili wakupe Mitaji na uanzishe Miradi mbalimbali ya Biashara uwe na Maisha Mema kuliko hivi sasa Pesa zako zote Unahongea Wajumbe wa CCM Kata Kawe huku ukiwa umepanga Nyumba Jirani na Ukuta wa Kanisa Kuu la KKKT Kawe wakati hizo Pesa ungeweza hata Kununua Kiwanja na hata Kujenga ili ukakae na Bi. Mkubwa wako ( Mama Mzazi ) ambaye Kimaadili sitaki Kusema hapa huwa anafanya nini Kutwa pale Jambo Lee Pub ( hasa kwa kule Juu ) ambako huwa anapenda Kukaa.
 
FB_IMG_1648410131191.jpg
 
Kama hujasoma usisome..

Mtoa mada amezaliwa Bunda vijijini, amekulia Bunda vijijini na anaishi Bunda vijijini.. kawe hapajui wala hajawahi kufika...

Ameandika yote haya ili aonekane eti ni mtoto wa mjini.

# ushamba mzigo
 
Uzi bila picha ya mhusika haunogi,maana hao kina Mwakibinga wapo wengi.....
 
Nani Alikutuma ? Hongera kwa uzi uliotukuka
 
Back
Top Bottom