James Sinclair: A Friend or Foe?

James Sinclair: A Friend or Foe?

Mr. Jmes Sinclair is a friend of Ganesh,not me,the real Ganesh,The Avatar Ganesh.
 
Ili tujue tulikotoka tu na kuwasaidia wengine wenye maswali wapate majibu wao wenyewe.
 
Hiyo safari ya mwezi wa kumi ni ya kutoa sadaka kwa wa*&seng&%e wake.
 
Haya makapuni kutoka mataifa ya kibeberu,yanazidi kutudumaza kiuchumi.MNc's zinatumia hata diplomatic pressure ya nchi zao ili kuzidi kutunyonya.

Ndiyo maana namzimia Gadaffi,kwenye ishu ya mafuta huko Libya.Angalia mtindo wa uwekezaji alioufanya. Si lazima tupange mineral revolution ndiyo tufanye vyema.

Sekta ya madini ikipangwa na kutumika vyema,inaweza kutusaidia tukapata mtaji mkubwa wa kujenga domestic industries ili angalao katika matumizi ya factors of production,tuwe na kitu cha kujivunia hapo baadae.We are not late
Kwenye boldi mkuu,ndo maana hawamkupenda!Duh!Haya...
 
Back
Top Bottom