Haya makapuni kutoka mataifa ya kibeberu,yanazidi kutudumaza kiuchumi.MNc's zinatumia hata diplomatic pressure ya nchi zao ili kuzidi kutunyonya.
Ndiyo maana namzimia Gadaffi,kwenye ishu ya mafuta huko Libya.Angalia mtindo wa uwekezaji alioufanya. Si lazima tupange mineral revolution ndiyo tufanye vyema.
Sekta ya madini ikipangwa na kutumika vyema,inaweza kutusaidia tukapata mtaji mkubwa wa kujenga domestic industries ili angalao katika matumizi ya factors of production,tuwe na kitu cha kujivunia hapo baadae.We are not late