Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu ni Wazungu tu..! Wala hujui kama ilikuwa lazima waandike hayo.View attachment 616993
Kwa wale wenye uelewa wa taratibu tunawaletea hili ili muendelee kujielimisha.
Naamini akili zetu zimebadilika sana sina uhakika na wazunguWazungu ni Wazungu tu..! Wala hujui kama ilikuwa lazima waandike hayo.
Kule Mwadui walituletea Goroli kwa ajili ya bao wao wakachukua almasi. Akili zetu na zao hazijabadilika
Nimesoma bandiko lote sijaona tofauti na mabandiko yaliyobandikwa humu tangu siku Kabudi na Thornton wabadilishane hati za makubaliano ya mapendekezo ya kufanyiwa kazi na Barricks, siku ile pale Ikulu.Nimeleta maoni yake tu.Haimaanishi maoni ya watanzania juu yake yako vilevile au yamebadilika
Msimamo si mazungumzo bado yanaendelea au kuna lingine?."It was not immediately clear if the government would lift the demand for ACACIA to meet a 190$ billions demand for unpaid Taxes".
Statement hiyo juu ndo ya msingi zaidi nililoliona katika hiyo Statement!!. Swali la msingi ni hili : Kwa kuwa kumbe bado haijawa clear kama serikali italipursue hilo deni au la, Je Serikali ina msimamo gani kuhusu kudai hizo Dola Billioni 190 ambazo ni takriban shilingi Trillion 425 ambazo tumeibiwa kwa miaka mingi?
yako mabandiko ya kupotosha ila umeamua kuignoreNimesoma bandiko lote sijaona tofauti na mabandiko yaliyobandikwa humu tangu siku Kabudi na Thornton wabadilishane hati za makubaliano ya mapendekezo ya kufanyiwa kazi na Barricks, siku ile pale Ikulu.
Hili jambo tukilijaza ushabiki tutalitia najisi!
Msimamo wa serikali ni uleule...yaani pamoja na mnachokiita kishika uchumba bado kuna mjadala kuhusu kodi tuliyowadai.sasa kuna baadhi ya bavicha walitaka kupotosha eti tumeachia kodi tukachukua kishika uchumba."It was not immediately clear if the government would lift the demand for ACACIA to meet a 190$ billions demand for unpaid Taxes".
Statement hiyo juu ndo ya msingi zaidi nililoliona katika hiyo Statement!!. Swali la msingi ni hili : Kwa kuwa kumbe bado haijawa clear kama serikali italipursue hilo deni au la, Je Serikali ina msimamo gani kuhusu kudai hizo Dola Billioni 190 ambazo ni takriban shilingi Trillion 425 tulizoibiwa kwa miaka mingi?
Hivi barrick kukubali yale iliyoyakubali ni jambo dogo?Tuwe wakweli kidogoGamba la Nyoka ndiyo maana nimemwambia kwamba hapo sijaona jipya. Hoja yetu sisi wengine ni kwamba ni kwa nini mapendekezo yageuzwe yaonekane kuwa kama ni maafikiano ya kulipana? Haya majadiliano bado yanaendelea sasa sijajua ni kwa nini tuliletewa lile tukio!
Kwa nini tusijadili yaliopo ambayo kwa kweli hakuna jipya tutakalojadili!yako mabandiko ya kupotosha ila umeamua kuignore
Hivi mpaka sasa kuna makubaliano ama kuna mapendekezo!?Hivi barrick kukubali yale iliyoyakubali ni jambo dogo?Tuwe wakweli kidogo