James Sinclair: Tanzania royalty comments of the impact of Acacia/Barrrick - Tanzania settlement

James Sinclair: Tanzania royalty comments of the impact of Acacia/Barrrick - Tanzania settlement

Hivi mpaka sasa kuna makubaliano ama kuna mapendekezo!?
Kuna makubaliano ya kisheria kati ya Tanzania na barrick...usidhani mazungumzo ya miezi takribani mitatu yalikuwa ni mazungumzo madogo
 
Kuna makubaliano ya kisheria kati ya Tanzania na barrick...usidhani mazungumzo ya miezi takribani mitatu yalikuwa ni mazungumzo madogo
Tunajua lakini mwisho wa siku kilichosainiwa si makubaliano ni mapendekezo ya kufanyiwa kazi na Barricks na Acacia, na wakimalizana ndiyo yatakuwa ni makubaliano kati ya sisi na wao!

Hili jambo linatiwa chumvi mno kwa faida za kisiasa!
 
Unabadilisha!
Makubaliano ni kati ya sisi na Barrick...na Rais alisisitiza tutaongea na barrick tu...sio wanahisa wenzake.Na tuliweka saini makubaliano hayo...naamini ni legal binding.

Mbwembwe za Acacia na ninyi wapinga ukweli hazifuti makubaliano hayo.
 
[QUOTE="Allen Kilewella, post: 24135451, member:shareholder ajua lakini mwisho wa siku kilichosainiwa si makubaliano ni mapendekezo ya kufanyiwa kazi na Barricks na Acacia, na wakimalizana ndiyo yatakuwa ni makubaliano kati ya sisi na wao!

Hili jambo linatiwa chumvi mno kwa faida za kisiasa!

/QUOTE]
Kwani Allen ,Acacia wanaweza kuwagomea majority shareholder wao ambao ni Barrick?
Na je,tungejadiliana na Accacia ,Barick wangeyakubali moja kwa moja mapendekezo yetu minority share holder wao ambao ni accacia?
Nini implication ya mahusiano kati ya Barrick na accacia kama hawatokubaliana kwenye mapendekezo hayo?
 
Sasa hiyo kodi wakikataa kulipa haya tuliyokubaliana awali yanamsingi gani kama si kuharibu pesa za vikao tu..mimi nilitegemea kila kitu kingemalizika ndio walete report. Tunalazimisha tulipwe hizo 700 haraka huku mazungumzo hayajafikia mwisho maana yake nini? Hapa naona kama kuna kuhamisha goli lakini muda ndio rafiki
 
Hivi barrick kukubali yale iliyoyakubali ni jambo dogo?Tuwe wakweli kidogo
Msimamo wa serikali ni uleule...yaani pamoja na mnachokiita kishika uchumba bado kuna mjadala kuhusu kodi tuliyowadai.sasa kuna baadhi ya bavicha walitaka kupotosha eti tumeachia kodi tukachukua kishika uchumba.

Kama mazungumzo yanaendelea kwa nini wasisubiri yaishe ndo watuletee Maafikiano?, kumbuka the most important thing katika yale Mazungumzo ni stahiki zetu takriban sh Trilion 425 kwa sababu financial na economic benefit zooote tutakazopata kwa dili hili la juzi naona kamwe haitofika hiyo Trlilion 425
 
Back
Top Bottom