[QUOTE="Allen Kilewella, post: 24135451, member:shareholder ajua lakini mwisho wa siku kilichosainiwa si makubaliano ni mapendekezo ya kufanyiwa kazi na Barricks na Acacia, na wakimalizana ndiyo yatakuwa ni makubaliano kati ya sisi na wao!
Hili jambo linatiwa chumvi mno kwa faida za kisiasa!
/QUOTE]
Kwani Allen ,Acacia wanaweza kuwagomea majority shareholder wao ambao ni Barrick?
Na je,tungejadiliana na Accacia ,Barick wangeyakubali moja kwa moja mapendekezo yetu minority share holder wao ambao ni accacia?
Nini implication ya mahusiano kati ya Barrick na accacia kama hawatokubaliana kwenye mapendekezo hayo?