James Temu wa Praise Power

James Temu wa Praise Power

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Kwa wale tunaosikliza habari na burudani za Yesu kupitia Radio hii watakua wanamfahamu............nimebahatika kumsikiliza mara nyingi vipindi vya usiku...kw akweli kijana ana upako wa hali ya juu...au tuseme namna anavyoweza kuongelea jambo/kusali na kuombea kwa uhalisia..kwa kweli amebarikiwa kwa hili!!..anakesha usiku kucha akiwaombea wenye shida mbalimbali..............kwangu mimi amenibariki sana na maombi yake!!

Mungu akazidi kumbariki........jaribu kutune radio hiyo utamfahamu zaidi........99.2fm
 
Ha haa haaa hapana bwana mchanganyiko tu wa majukumu!
Nakuja sana ila ndo ile busy busy si unajua vibarua ndugu yangu!
 
Ha haa haaa hapana bwana mchanganyiko tu wa majukumu!
Nakuja sana ila ndo ile busy busy si unajua vibarua ndugu yangu!

haya yametoka wapi tena, ndo ninyi mnaolia vyakula toilet, rudi kwenye topic!
 
Back
Top Bottom