Aliupiga LunyasiHivi Julio enzi zake aliupiga katika timu zipi?
Ataishia kufukuzwaTimu ya Manispaa ya Kinondoni imetangaza kuvunja Benchi lake la Ufundi kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake na kumtangaza Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' kuchukua mikoba ya Thiery Hitimana..
Ndiyo hatma ya makocha wengi hiyoAtaishia kufukuzwa
Ndiyo hatma ya makocha wengi hiyo
Hapana, nimemaanisha makocha wote wa mpira duniani. Wengi huishia kufukuzwa.Hasa wazawa, hawaaminiwi