barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Tupo, mwendo mdundo. Tayari kimoko.
Uje Tuuh Unipe Huu Mchapo Maana.Hahaaa. Inabidi nijitahidi Mtani. Hivyo jumatano na wewe utaniombea Dua. Lol.
Ndio mie rafiki. Wacha tu rafiki. Nitakupa mchapo baadae.
Hapana Leo Sikukimbii.Hahaaa. Hukawii kunikimbia hapa.
Naona ila bado mpaka msimu uishe ndio nitaamini kwa kweli.Hakuna Jinsi, Msimu Wetu Huu
Hahaaa. Ila mnaniangusha Mtani mnakuja baada ya kufunga goli.Tupo, mwendo mdundo. Tayari kimoko.
Sawa nakuja Mtani wangu.Uje Tuuh Unipe Huu Mchapo Maana.
Hahahaaaa. Ahsante sana.Hapana Leo Sikukimbii.
Hongera Kwa Kushinda Juzi
Hahahahahha Wakimataifa KweliHahahaaaa. Ahsante sana.
Wakimataifa sieee. Teh teh
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lolHahahahahha Wakimataifa Kweli
Kukuona huku kumenigutusha... Napenda sana jinsi unavyoamiliana na watu humu ndani. E.. aYangu macho tu leo. Teh teh teh
Halafu mpira ukiisha huku Mimbazi wakiibuka kidedea urudi tena jukwaani uje utoe shikamoo kwa mabingwa tarajiwaYangu macho tu leo. Teh teh teh
Makajiandaee Kwao Uko Msije kurudi Kwa Huzuni[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lol
Asante mkuu.. Nami narudisha salamu, tuendelee kushuhudia mtanange huu
Kimoko hakitoshi mkuu tupige hata tatuTupo, mwendo mdundo. Tayari kimoko.
Wafanye bidii waongeze. Goli moja laweza kurudi muda wowote.Kimoko hakitoshi mkuu tupige hata tatu
Hahaaaa. Mie siamini Ubingwa kama ni wenu mpaka game ya mwisho ya ligi hapo ndio nitaamini Sesten.Halafu mpira ukiisha huku Mimbazi wakiibuka kidedea urudi tena jukwaani uje utoe shikamoo kwa mabingwa tarajiwa