Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
SitakTukutane kwenye uzi wetu ukuje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SitakTukutane kwenye uzi wetu ukuje
Hahahaaa. Karibu mtani.Hahahahha Aksante Mtani.
Ni sheeeederHuyu kichuya huyu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaaaa. Na kweli Mtani.Ujifichi Ndomana Kwa Walokuzoee
Mh kwa nini sasa jamaniSitak
Wacha weee. Kama nakuona vile unavyotamani mpira uishe. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni sheeeeder
Combination ya Kichuya, Okwi na Boko ni [emoji91][emoji91][emoji91] kwenye VPL kwa sasaNi sheeeeder
[emoji91][emoji91][emoji91]Yes Linamo.
Hizi Ni Fitina Kiukweli Mabao Yote Yale Walokosa Lol!Yaani mtibwa ni timu ya kibiashara zaidi. Wameshachukua chao siku nyingi
Naona Unanisemea Mie.Wacha weee. Kama nakuona vile unavyotamani mpira uishe. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaani mtibwa mi nakwambia wanajua kufanya biashara kinoma na haswa wakijua hawashuki daraja ndo kabisaaa. Ila huwa wanamkazia sana yangaHizi Ni Fitina Kiukweli Mabao Yote Yale Walokosa Lol!
Woyoooo, weraweraaa
Hahaaa. Si unajua ushabiki Mtani. Ningekuwa mimi mwenyewe ningeombea mpira uishe sababu sipendi kudundwa na roho. Acha tu Mtani.Naona Unanisemea Mie.
Umeonaa Wamekataa Goli.Yaani mtibwa mi nakwambia wanajua kufanya biashara kinoma na haswa wakijua hawashuki daraja ndo kabisaaa. Ila huwa wanamkazia sana yanga
Basi uko upande wa mabingwa, karibu sanaMi Simba Mkuu
Hahahaaaa. Hata wewe Sesten.Woyoooo, weraweraaa
Ila beki kasukumwa Mtani. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeonaa Wamekataa Goli.
Kwaiyo wanawakazia Yanga Si Simba.