Mipango ilifeli kwa sababu mliwapa kina Mzee Morrison dola elfu 5. Macho makavu kabisa huna ujanja Wa kunifelisha wewe na wazee wako hawaHapana sikua na feli sana kama mipango ya yanga ilivyo feli tarehe 12 july mwaka huu pale kwa mkapa
Malizia waliwapiga utopolo 4-1Tena walipigwa mbele ya Jiwe! Juzi juzi Mbao aliwachapa hapo hapo kwa Ben
Malizia waliwapiga utopolo 4-1Tena walipigwa mbele ya Jiwe! Juzi juzi Mbao aliwachapa hapo hapo kwa Ben
Tulipigiwa hapo hapo kwa Ben, ila huwa hatusingizii viwanja tukifungwa! Ni sababu iliyopitwa na wakati! Eti kina Mzamiru, Kapombwe, Boko na wenzao washindwe kucheza uwanja kama Jamhuri?Na ww nne ulibugizwa wapi?
Soka safi mpira chini unaweza chezwa jamhuri?Tulipigiwa hapo hapo kwa Ben, ila huwa hatusingizii viwanja tukifungwa! Ni sababu iliyopitwa na wakati! Eti kina Mzamiru, Kapombwe, Boko na wenzao washindwe kucheza uwanja kama Jamhuri?
Zaidi ya 80% ya viwanja vyetu viko hivyo na wachezaji wetu wametoka huko! Kwa hiyo mkishindwa kupata matokeo myatakao msisingizie viwanja! Pale Jamhuri msimu uliopita mlimchapa Mtibwa, uwanja ulikuwaje?Soka safi mpira chini unaweza chezwa jamhuri?
Uwanja ambao ukipiga pasi tano, nne lazima zidundedunde....
Msimu ulioisha mbona mlishinda au umesahau ewe mbumbumbu?Soka safi mpira chini unaweza chezwa jamhuri?
Uwanja ambao ukipiga pasi tano, nne lazima zidundedunde....
Kwenye ligi yanga hua tuko serious sana,msimu ulioisha tumeondoka na point 4 msimu huu tunachukua zote toka kwa mikiaMalizia waliwapiga utopolo 4-1
We mkia mbona umekasirika sana shida nn?Halafu wanajiita mabingwa wa kihistoria kweli Eymael hakukosea kuwatukana
Mbona unanifokea,? Nini shida...Umeangalia mechi?
Au we unataka mpaka mtu afunge?
Kumchapa hakuhalalishi ubovu wa uwanja.Zaidi ya 80% ya viwanja vyetu viko hivyo na wachezaji wetu wametoka huko! Kwa hiyo mkishindwa kupata matokeo myatakao msisingizie viwanja! Pale Jamhuri msimu uliopita mlimchapa Mtibwa, uwanja ulikuwaje?
Nyani huwa na Vichwa vizito.....Msimu ulioisha mbona mlishinda au umesahau ewe mbumbumbu?
Shida ulichoongeaMbona unanifokea,? Nini shida...
Mkuu huyu Mugalu kasajiliwa kuja kujaribiwa!? .msimu uliopita kulikuwa na utegemrzi wa Boko na Kagere,wakichemsha ndio umetoka!Unaposema Chama na Boko ni strikers, hapo napata mashaka na uelewa wako wa soka, maana kocha anachezesha mfumo wa striker mmoja na ndio ambao kwa falsafa yake unamletea anachohitaji. Kwanza pale Chama sio striker, Pili huwezi kumlazimisha kocha atumie mfumo wako, maana huo mfumo unaoutaka ukifeli atakayewajibishwa ni kocha, sio wewe
Bi Shadeeya huwa unaonekana humu Simba ikifungwa au droo...Maendeleo hayana Timu!Naona kuna mwenzio ameshapanic utadhani mi nilikuwa refa. ππππ
Aliyewaita manyani hakubahatisha mlivyochukua pointi 4 mlienda wapi, mlichukua ubingwa au mmepata uwakilishi wa kimataifa.Kwenye ligi yanga hua tuko serious sana,msimu ulioisha tumeondoka na point 4 msimu huu tunachukua zote toka kwa mikia
nlisema hapa Mugalu type yake ya uchezaji haitofautian na Boko tena Boko ni bora zaidi, nikaambulia povu kama lote yan!Mkuu huyu Mugalu kasajiliwa kuja kujaribiwa!? .msimu uliopita kulikuwa na utegemrzi wa Boko na Kagere,wakichemsha ndio umetoka!
Leo kaletwa wa Kimataifa Mugalu...huu ndio muda alitakiwa wcheze Sasa ...mbona Morrison na Onysngo wanacheza!
Tulishaumwa na nyoka kwa kina Lino Musombo,nk na Mwaka jana tu tuliokuwa na bomu la Kibrazili lazima tushtuke!
Bila hiana Yanga na Azam wameasajili!
Aliyewaita manyani hakubahatisha mlivyochukua pointi 4 mlienda wapi, mlichukua ubingwa au mmepata uwakilishi wa kimataifa.
Sisi tumewapiga 4 na kombe tumechukua kumbe ndio maana huwa mnashangilia draw