Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Hapana sikua na feli sana kama mipango ya yanga ilivyo feli tarehe 12 july mwaka huu pale kwa mkapa
Mipango ilifeli kwa sababu mliwapa kina Mzee Morrison dola elfu 5. Macho makavu kabisa huna ujanja Wa kunifelisha wewe na wazee wako hawa
 
Na ww nne ulibugizwa wapi?
Tulipigiwa hapo hapo kwa Ben, ila huwa hatusingizii viwanja tukifungwa! Ni sababu iliyopitwa na wakati! Eti kina Mzamiru, Kapombwe, Boko na wenzao washindwe kucheza uwanja kama Jamhuri?
 
Tulipigiwa hapo hapo kwa Ben, ila huwa hatusingizii viwanja tukifungwa! Ni sababu iliyopitwa na wakati! Eti kina Mzamiru, Kapombwe, Boko na wenzao washindwe kucheza uwanja kama Jamhuri?
Soka safi mpira chini unaweza chezwa jamhuri?
Uwanja ambao ukipiga pasi tano, nne lazima zidundedunde....
 
IMG-20200912-WA0021.jpeg
 
Zaidi ya 80% ya viwanja vyetu viko hivyo na wachezaji wetu wametoka huko! Kwa hiyo mkishindwa kupata matokeo myatakao msisingizie viwanja! Pale Jamhuri msimu uliopita mlimchapa Mtibwa, uwanja ulikuwaje?
Kumchapa hakuhalalishi ubovu wa uwanja.
 
Unaposema Chama na Boko ni strikers, hapo napata mashaka na uelewa wako wa soka, maana kocha anachezesha mfumo wa striker mmoja na ndio ambao kwa falsafa yake unamletea anachohitaji. Kwanza pale Chama sio striker, Pili huwezi kumlazimisha kocha atumie mfumo wako, maana huo mfumo unaoutaka ukifeli atakayewajibishwa ni kocha, sio wewe
Mkuu huyu Mugalu kasajiliwa kuja kujaribiwa!? .msimu uliopita kulikuwa na utegemrzi wa Boko na Kagere,wakichemsha ndio umetoka!
Leo kaletwa wa Kimataifa Mugalu...huu ndio muda alitakiwa wcheze Sasa ...mbona Morrison na Onysngo wanacheza!
Tulishaumwa na nyoka kwa kina Lino Musombo,nk na Mwaka jana tu tuliokuwa na bomu la Kibrazili lazima tushtuke!
Bila hiana Yanga na Azam wameasajili!
 
Kwenye ligi yanga hua tuko serious sana,msimu ulioisha tumeondoka na point 4 msimu huu tunachukua zote toka kwa mikia
Aliyewaita manyani hakubahatisha mlivyochukua pointi 4 mlienda wapi, mlichukua ubingwa au mmepata uwakilishi wa kimataifa.
Sisi tumewapiga 4 na kombe tumechukua kumbe ndio maana huwa mnashangilia draw
 
Tuliposema hatutoi kibali cha Morrison nadhani hamkuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Nyie mbaki na kibali chenu feki mlichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
 
Mkuu huyu Mugalu kasajiliwa kuja kujaribiwa!? .msimu uliopita kulikuwa na utegemrzi wa Boko na Kagere,wakichemsha ndio umetoka!
Leo kaletwa wa Kimataifa Mugalu...huu ndio muda alitakiwa wcheze Sasa ...mbona Morrison na Onysngo wanacheza!
Tulishaumwa na nyoka kwa kina Lino Musombo,nk na Mwaka jana tu tuliokuwa na bomu la Kibrazili lazima tushtuke!
Bila hiana Yanga na Azam wameasajili!
nlisema hapa Mugalu type yake ya uchezaji haitofautian na Boko tena Boko ni bora zaidi, nikaambulia povu kama lote yan!
 
Aliyewaita manyani hakubahatisha mlivyochukua pointi 4 mlienda wapi, mlichukua ubingwa au mmepata uwakilishi wa kimataifa.
Sisi tumewapiga 4 na kombe tumechukua kumbe ndio maana huwa mnashangilia draw
 
Attachments

  • 2517471_119215069_329138898164232_6277232584260647430_n.mp4
    1.3 MB
Back
Top Bottom