naunga mkono hoja mkuu anapanga kikosi kwa kukariri co kwa jitihada mazoezin hamna kitu paleTimu inacheza na kushinda kwa uwezo wa wachezaji na si uwezo wa kocha ,huyu kocha ni useless kabisa,wachezaji bora tulio nao ndo wanasaidia timu ila sio huyu kishingo