Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Tunamtaka Mugalu acheze tumwone kama ni namba tisa kweli.
Kwa nini umtake Mugalu na sio Kagere au Ilamfya? Sasa kocha alazimike kufuata mfumo wako wa kuwapanga namba tisa wawili na wachezaji wazidi 11 uwanjani? Acheni ushamba
 
...tunategemea Chama na Boko tu upande wa striker ..!
Unaposema Chama na Boko ni strikers, hapo napata mashaka na uelewa wako wa soka, maana kocha anachezesha mfumo wa striker mmoja na ndio ambao kwa falsafa yake unamletea anachohitaji. Kwanza pale Chama sio striker, Pili huwezi kumlazimisha kocha atumie mfumo wako, maana huo mfumo unaoutaka ukifeli atakayewajibishwa ni kocha, sio wewe
 
Kwa nini umtake Mugalu na sio Kagere au Ilamfya? Sasa kocha alazimike kufuata mfumo wako wa kuwapanga namba tisa wawili na wachezaji wazidi 11 uwanjani? Acheni ushamba
Sio ushamba basi wasingemsajiri huyo Mugalu. Kama hatakiwi. Tulikuwa na shida ya namba tisa na kasajiriwa. Na anaishia benchi
 
Mkuu kuna strikers wanne, na wangekuwa watano kama dogo Cyprian Kipenye asingetolewa kwa mkopo. Lakini kwa idadi ya wachezaji wa uwanjani itakuwa kituko kuchezesha strikers wote wanne
 
hehehe we jamaa bhana yaaani unavopayuka kwa kusema kabisa 'tumemsajili' utadhani nawewe umechangia hata buku mbili tu kwenye ada ya mchezaji

Kaa utulie fuatilia ligi,acha kiherehere...anaishia benchi kwani umeambiwa ligi inaisha baada ya mechi mbili tu?!!!
 
Okwi + Kagere + Bocco = 50+goals
 
hehehe we jamaa bhana yaaani unavopayuka kwa kusema kabisa 'tumemsajili' utadhani nawewe umechangia hata buku mbili tu kwenye ada ya mchezaji

Kaa utulie fuatilia ligi,acha kiherehere...anaishia benchi kwani umeambiwa ligi inaisha baada ya mechi mbili tu?!!!
Mimi ni Mwana chama hai wa Simba na nachangia timu mara kwa mara, Namba tisa wa Kigeni ni lazima awe mzuri wa kuanza.
Unamuona Sapong na Prince Dube.
 
Tatizo lako unataka kulinganisha. Dube sio namba tisa, striker wa Azam ni Chirwa
 
kocha aache upambavu wa kumweka Bocco peke yake, timu inapata matokeo kwa kuchelewa
Implication yake ni kwamba kiungo mmoja akae bench, kati ya Chama, Miquissone au Morrison
 
Nilipinga pakubwa ujio wa bernard Morrison Klabuni kwetu, Ona sasa kinahotokea. Muda si mrefu atakuwa anazungumza lugha moja na Ajibu.
 
Back
Top Bottom