Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Mtibwa keshapigwa tatu moja ama tatu bila?
mtujuze wengine tupo ndani tumefungiwa na nguo zimelowekwa atuwezi kutoka ndani.
 
Mikia FC.......

Niliwaambia HII NI SARE...mkabisha😂😂😂

Aaagh Kikosi Cha Mabilioni Hicho....

Kwa Mwendo Huu...Huko Champions league mtatutia AIBU TULIYOIZOEA......

#LigiNdioImeanza
 
Back
Top Bottom