Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serekali tatu ni mzigo napendekeza iwe mbili, kwani serekali huendeshwa kwa Lodi za wananchi.
Hakuna haja ya kuwa na kitu kinaitwa muungano...what is needed ni economic cooperation au reginal integration au serikali moja tu. zanzibar iwe mkoa tu.
Serekali tatu ni mzigo napendekeza iwe mbili, kwani serekali huendeshwa kwa Lodi za wananchi.
Kwa uoni wa tume, tuwe na jamhuri tatu kumaliza fitna. Tumejiandaa kuziendesha kwa vyama tofauti? Mathalani Zanzibar - CUF, Tanganyika - CDM na Muungano - CCM
Sidhani km znz wataweza kuchangia gharama serikali ya muungano maana bajeti yao tu ni ndogo kuliko ya mambo ya ndani bara
Sidhani km znz wataweza kuchangia gharama serikali ya muungano maana bajeti yao tu ni ndogo kuliko ya mambo ya ndani bara
Eti wewe huna adabu