Jamhuri ya Ajentina | República Argentina

Hill swali nilishawahi kujiuliza sana kidogo leo umenipa mwanga. Nimekua nikiiangalia timu ya Argentina sioni mweusi ingawa wamepakana na Brazil kwa sehemu kubwa, na nchi nyingine zote za Amerika ya kusini kuna wachezaji weusi ila si kwao.

Acha maneno mengi wewee, mpongeze mleta mada. Hivi hujiulizi timu yetu ya taifa haina mweupe hata mmoja??

Nicolas maidana
Veron
N.k

Hao ni weupe?
 
Acha maneno mengi wewee, mpongeze mleta mada. Hivi hujiulizi timu yetu ya taifa haina mweupe hata mmoja??

Nicolas maidana
Veron
N.k

Hao ni weupe?
Baada ya jibu lako mujarab toa muongozo tukupigie makofi au tukutungie shairi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…