Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Unafkir kwa kuita imani ya wengine 'Upuuzi' ndio itakufanya wewe uwe na akili sana?
Mm nafkir haukuwa na haja ya kutumia lugha ya namna hiyo.
niupuuzi tu " iwe nitaonekana sina akili " au nitaonekana ninazo it's non ur business"... kwa matendo haya yanayoendelea dhidi ya hizo dini na madhehebu yake " hakuna namna nyingine yakuweza kuyaita zaidi us upuuzi
 
niupuuzi tu " iwe nitaonekana sina akili " au nitaonekana ninazo it's non ur business"... kwa matendo haya yanayoendelea dhidi ya hizo dini na madhehebu yake " hakuna namna nyingine yakuweza kuyaita zaidi us upuuzi
Nipo nawe mia kwa mia ni upuuzi wa kushindania mamlaka ya kidunia.
 
Elimu haimtafuti mtu bali elimu inatafutwa.
Mkuu shule ulizosoma wewe pekee ndio ulikuwa mwalimu na mwanafunzi hapo hapo,au vitabu au chochote ulichojifunza ulikiandaa mwenyewe.tuache ubinafsi vinginevyo uniambie kwamba huwa unaota tu usingizini vitu uvijuavyo au LA usingebisha wala kuchangia chochote.
 
Hakuna kisicho na faida na dini ni njia tu ya watu kuwafunga na kuwatawala wengine,ni sawa na kuwatenganisha waarabu na uislam au ukristo na uzungu,ukomunisti na umashariki na kuendelea na kuendelea.na ndio maana kila siku magomvi kuzihusu hizi tamaduni kuu mbili hayaishi.ntabaki na ujinga wangu.
 
Bro uko sahihi,na hapa natilia mkazo kwa maneno haya mafupi "Hakuna ibada yoyote ya mashia ikafanana na ibada ya waislamu". Huu ndio ukweli,kwa ufupi USHIA ni dini kando tofauti na uislamu.
Tuite in tamaduni tofauti na uislam.
 
Mkuu yaani unavyoyajua mambo ya kurani umeshindwa kabisaa kujua kuran inasemaje kuhusu kuendesha magari kwa wanawake? Au kuangalia sinema na football vitu ambavyo Saudia imeruhusu?
Hivi mkuu nikikwambia Saudia imerusu makanisa utakubali kweli? Au ukiambiwa Iraq kuna wakristo wengi sana utakubali? Tuwe huru kukubali vitu vinavyotokea hata kama hatuvipendi.
 
Bro uko sahihi,na hapa natilia mkazo kwa maneno haya mafupi "Hakuna ibada yoyote ya mashia ikafanana na ibada ya waislamu". Huu ndio ukweli,kwa ufupi USHIA ni dini kando tofauti na uislamu.
Mkuu mimi SHIA na ninaelewa kwamba nyinyi MASSUNI mmeamua kwa wazi kabisa kuacha taratibu za kidini kukubali kufata propaganda za makafiri wa magharibi.

USHIA ndio mahala pekee ulipo uislamu wa kweli usiochafuliwa na nyinyi MASSUNI, Allah atakuja kuwa aibisha Siku ya kiama na sisi mujahedeen' tutaendelea kusonga ili kuutanga Uislamu ulio simama. [emoji3] [emoji3] [emoji112]
 
Mkuu haya Massuni yameamua kuungana na makafiri ya magharibi ili kujaribu kuzima ndoto za Mtume ..na ni kitu ambacho hakitawezekana kwa sababu Uislamu ( ulitilia ndani USHIA) utaendelea kusimama imara kabisa licha ya kupingwa vikali na makafiri ya ulaya na marekani lakini hoja zao hazitatimia kamwe.
 
Mkuu niliposema wasuni nilikuwa naakisi wasaudia, nikasema hii vita ya iran na saudia sio ya kidini ni vita ya kiuchumi iliyovalishwa sura ya kidini kwa maslahi ya watu/mataifa husika. Kwa sasa saudia ndio mnufaika namba moja kiuchumi wa uwepo wa uislamu duniani. Pia Iran ni jirani yake saudia. Lengo la iran ni kuhakikisha washia wanakuwa wengi na wenye nguvu ili baadae iran kwa mwanvuli wa ushia wadhibiti miji mitakatifu ya makka na madina na wapate hizo faida za kiuchumi. Ndio maana saudia anamuhofia zaidi iran kuliko hata israel na marekani. Kwa Saudia ni bora Israel amiliki nyuklia kuliko nduguye Iran. Na ndio sababu wanashindania kuidhibiti Yemen, Syria , Lebanon na Iraq ili kujiimarisha na kupandikiza vibaraka wao. Wakati Iran ananunua silaha kutoka urusi Saudia ananunua kutoka marekani.
Serikali ya Iran inatumia mabilion ya pesa kila mwaka kueneza ushia duniani hasa kwa kuwabadili wasunni kuwa washia na wamefanikiwa sana hasa baada ya kuondolewa vikwazo na Obama maana walipata pesa za kujenga misikiti mpya na kuwakrimu waumini wapya. Tishio hili lilianza baada ya mapinduzi ya washia Iran miaka ya 1970's.
 
Hivi niliposema elimu haimtafuti mtu ulinielewa bro ?
 

Hili ulilokiandika nikikwambia unipe ushahidi huwezi kunipa hata niki kupa miaka miwili na ziada.

Tuwe tunazungumza kwa elimu na kwa haki.
 
Mkuu wacha uwongo na upotoshaji wako mtume muhammad aliwahi kuwa na mtoto wa kiume ambaye naye hakuishi umri mrefu na ndiye mtt wa kiume pekee alipata kutoka kwa bi khadija na jina lake aliitwa IBRAHIM IBN MUHAMMAD sasa ww hiyo ya kutokuwa na mtt umeipata wapi?
 

Hapo kabla hujazungumzia mipira na kuangalia masinema bali ulizungumzia kuendesha magari kwa wanawake. Elimu ni pana bro,kutokujua sio tatizo tatizo ni kutokujua kama hujui hili ndio balaa hasa.

Ama kuhusu mipira na filamu hili liko wazi na hili linajulikana kwao. Niliposema wafalme wakiingia katika miji huwa wanaiharibu hukunielewa ?
 
Huujui Ushia bro. Nina uhakika huo. Unavitabu vingapi vya asili vya kishia yaani unavyomiliki na umeshawahi kuvisoma ?

Tatizo wafuasi nyinyi huwa mnafata kichwa mchunga.

Ukijibu swali langu nakuja kuendelea nilipo ishia.
 

Hahaha,nyinyi mtume kwenu ana nafasi gani ?
 
Mashia si ktk waislamu
Wameshatoka ktk uislamu cku nying

Hakuna ulamaa hata mmoja ambae anawatetea ktk maovu na uzushi wao
Mkuu huo ni mtazamo wako na kwaniaba ya wanajopo wote walochangia mjadala huu natumia fursa hii kukuhakikishia kuwa TUMEUHESHIMU MTAZAMO WAKO KIKAMILIFU KABISA. But kama nilivyosema awali,mtazamo huo utabakia kuwa wako na wala hauwezi kutuathiri tukaacha kuitambuwa IRAN kama jamuhuri ya kiislam lkn pia mtazamo wako hauwez kuizuia IRAN kujiita hivyo.

Nirudie tena kukutoa khofu kuwa TUMEUHESHIMU MTAZAMO WAKO.

ASANTE SANA
 
Nachokiona hapa mkuu umechukua upande. Na ukichukua upande mara nyingi ni ngumu kuwa nyutro. Nilikuwa nakukumbusha tu kuwa kauli yako kuwa Saudia ni nchi ya kiislam kuliko nyingine kwa msingi kuwa inaingozwa na sunni unaweza ukawa unapotoka. Pia mkuu tangu waruhusu wanawake waendeshe magari hukutaka kutafuta uhalali wao kidini mpaka hoja uikute JF? Hii inaonesha hakuna huo uhalali koz ungeshakutana nao.

Pia kuna sehemu unasema Saudia hakuna mapigano? Kama ni kweli mkuu usisahau mapigano siyo lazima yawe ktk ardhi yako. Ni sawa na US anapigana mbali na nchi yake lakini huwezi kusema nchi haiko ktk vita. Vilevile, hapo Saudia ni mara ngapi panapigw mabomu ? Vipi na yale mabomu ya kujitoa muhanga kipindi flani cha hijja?
 
Bac kabishane na wanadhuoni akina ,fauzan,ibn bazi, utheimin,alban

Kama na wew ni shia kaa ukijua umepotea njia maana naona unajaribu kujitetea kwa mlango wanyuma

[emoji117] Pote gan linalo walaani maswahaba
[emoji117] pote gan linalo amin kua mtume ataingia motoni kwanza ndipo aende peponi

[emoji117] pote gani linalo mruhusu mwanaume kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile
[emoji117] pote gani linaua waislamu yemeni

Au huyajui hayo

U have to think ndugu

dini ilikuja ni ngeni na itaondoka hal ya kua ni ngeni hvyo kwa mtu yeyote ambae atajinasibisha na suna na kitabu lazima mumuone mgeni

Allah atuongoze me na wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…