Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Hili ulilokiandika nikikwambia unipe ushahidi huwezi kunipa hata niki kupa miaka miwili na ziada.

Tuwe tunazungumza kwa elimu na kwa haki.
Ndio maana kila MTU ana ubongo wake,ushahidi utakaoutaka ni wa mahali ulipojifunza au walipoandika watu.Huu ni msimamo na uelewa wangu hauegemei yeyote na chochote.
 
Bro uko sahihi,na hapa natilia mkazo kwa maneno haya mafupi "Hakuna ibada yoyote ya mashia ikafanana na ibada ya waislamu". Huu ndio ukweli,kwa ufupi USHIA ni dini kando tofauti na uislamu.
Wasome mashia uwajue. Sio shia wote wapo kama unavyodhania ww,mashia wamegawanyika katika makundi mengi sana,wapo hawa waitwao Ismailia,Zeydia,Bohora,Fatwmiyyah na n.k. Kuna makundi katika shia hata fiqih yao haina tofauti sana na fiqhi ya Sunni,ndiyomaana hata katika ibada ya hijjah baadhi ya makundi ya shia huruhusiwa kuingia ndani ya Haramayni lkn baadhi yao hunyimwa viza
 
Nachokiona hapa mkuu umechukua upande. Na ukichukua upande mara nyingi ni ngumu kuwa nyutro. Nilikuwa nakukumbusha tu kuwa kauli yako kuwa Saudia ni nchi ya kiislam kuliko nyingine kwa msingi kuwa inaingozwa na sunni unaweza ukawa unapotoka. Pia mkuu tangu waruhusu wanawake waendeshe magari hukutaka kutafuta uhalali wao kidini mpaka hoja uikute JF? Hii inaonesha hakuna huo uhalali koz ungeshakutana nao.

Pia kuna sehemu unasema Saudia hakuna mapigano? Kama ni kweli mkuu usisahau mapigano siyo lazima yawe ktk ardhi yako. Ni sawa na US anapigana mbali na nchi yake lakini huwezi kusema nchi haiko ktk vita. Vilevile, hapo Saudia ni mara ngapi panapigw mabomu ? Vipi na yale mabomu ya kujitoa muhanga kipindi flani cha hijja?
Bro unapoengelea suni unajua maana yake nini ?

Sasa ulitakiwa ujiulize kwanini saudia hakuna mapigano kama nchi nyingine za kiislamu ?

Wakina nani walijitoa muhanga kipindi hicho usemacho "fulani"

Kupigwa mabomu kuna hali mbili na hilo huwa ni shambulio la kuvizia je kinacho fata huwa nini ?

Vita zina masharti zake na nguzo zake. Hili pia ni somo.
 
Bac kabishane na wanadhuoni akina ,fauzan,ibn bazi, utheimin,alban

Kama na wew ni shia kaa ukijua umepotea njia maana naona unajaribu kujitetea kwa mlango wanyuma

[emoji117] Pote gan linalo walaani maswahaba
[emoji117] pote gan linalo amin kua mtume ataingia motoni kwanza ndipo aende peponi

[emoji117] pote gani linalo mruhusu mwanaume kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile
[emoji117] pote gani linaua waislamu yemeni

Au huyajui hayo

U have to think ndugu

dini ilikuja ni ngeni na itaondoka hal ya kua ni ngeni hvyo kwa mtu yeyote ambae atajinasibisha na suna na kitabu lazima mumuone mgeni

Allah atuongoze me na wew

Sio tu kuwaua na kuwabaka wanawake wa kiislamu na kuwaua watoto wadogo na vikongwe.

Kaka USHIA sio pote bali ni dini ambayo ina asili ya kiyahudi hapa nimekukumbusha tu.

Ushia ni ukafikiri.
 
Ndio maana kila MTU ana ubongo wake,ushahidi utakaoutaka ni wa mahali ulipojifunza au walipoandika watu.Huu ni msimamo na uelewa wangu hauegemei yeyote na chochote.
Elimu haiko hivyo unavyofikiria wewe mzee,elimu ni maarifa na kunukuu kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika.
 
Write your reply...tofauti za sunni na shia ni za kimaslahi tu wala haziko ndani ya imani,ndo maana hata hao mashia wanahiji maka,kinachotusumbua sisi waislam ni baadhi yetu wanakuwa na itikadi kali,mimi sioni sababu ya wasuni kulipua misikiti wa shia eti kwa sababu sio waislamu kwa mtazamo wao,sasa sijui hawa wahabia huwakinawawasha nini,maana kama anaigiza uislamu si umuache atajijua mwenyewe na muumba wake?,mfano hata sisi wahamidia wanasema eti sio waislamu,wakati ni sunni wenzao,Mohamed abdulwahab na Mohamed al saud,waliharibu mno kuanzisha uhabia
 
Wasome mashia uwajue. Sio shia wote wapo kama unavyodhania ww,mashia wamegawanyika katika makundi mengi sana,wapo hawa waitwao Ismailia,Zeydia,Bohora,Fatwmiyyah na n.k. Kuna makundi katika shia hata fiqih yao haina tofauti sana na fiqhi ya Sunni,ndiyomaana hata katika ibada ya hijjah baadhi ya makundi ya shia huruhusiwa kuingia ndani ya Haramayni lkn baadhi yao hunyimwa viza
Kwanza waulize mashia wanamuweka kundi gani huyo Zaidi,wa Zaidiya ?
 
Elimu haiko hivyo unavyofikiria wewe mzee,elimu ni maarifa na kunukuu kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika.
Nami kama nataka kuaminiwa,ndio maana nami natoa misimamo yangu pia.
 
Write your reply...tofauti za sunni na shia ni za kimaslahi tu wala haziko ndani ya imani,ndo maana hata hao mashia wanahiji maka,kinachotusumbua sisi waislam ni baadhi yetu wanakuwa na itikadi kali,mimi sioni sababu ya wasuni kulipua misikiti wa shia eti kwa sababu sio waislamu kwa mtazamo wao,sasa sijui hawa wahabia huwakinawawasha nini,maana kama anaigiza uislamu si umuache atajijua mwenyewe na muumba wake?,mfano hata sisi wahamidia wanasema eti sio waislamu,wakati ni sunni wenzao,Mohamed abdulwahab na Mohamed al saud,waliharibu mno kuanzisha uhabia
Duh kwel hufahamu kitu ndugu rud darasan umsome abduk wahab'ALLAH AMREHEMU' vizur kwan watu wa bidaa mnamzushia sana ulamaa huyu NA UKITAKA NAKALA YAKE NTAKUTUMIA UMSOME VZR but kama utakua tyr

Note-ukitaka nikutajie upotevu wa hamadia ntakutajia tena kwa dalili kutoka ktk kitabu na sunnah
But kama utakua tyt na pia din inaenda kwa dalili shekh

Na pia usichukue elimu kwa kusikia tu bal unapaswa ukae chni usome
 
Kwanza waulize mashia wanamuweka kundi gani huyo Zaidi,wa Zaidiya ?
Nataka niwaelimishe mawahabi kuwa si sahihi kuchukua makosa ya watu wachache ukalitwika kundi zima katika makosa hayo. Yaan ni sawa na kusema waislam ni malaya sana kwakigezo cha kumuangalia Diamond platnum anavyowagegeda hovyo wadada. Diamond hawez kutumiwa kama sample ya kulihukumu kundi zima la waislam.

Hivyo bas,wapo shia wanaoamini shahada 3 na wana Quran yao lkn pia wapo shia hawaamini hayo ya shahada 3 na wao wanaamini quran hii hii itumiwayo na masunni na wauslam wote. Shia wa aina hii pia hawana misimamo ya kufurutu ada na fiqhi yao ni kama hii ya masunni. Sasa unamuitaje mshia huyu ni kafiri kwakutizama makosa ya Ithnaashar?
 
Write your reply...si utaje hapahapa huo ubaya wa washia?,na huyo mwandishi we fanya kupaste hapa paragraph chache kama amechemka ama anasema kweli tuone,kwanini ufanye siri?
 
Mayahudi na Mashia kuna sanaa tu zinazoendelea. Fatilia kwa umakini utaliona hili ninalokuambia.

Kwanza kaa ukijua mataifa mengi ya kimagharibi huwa wanawatumia mashia kama farasi katika kuufitini uislamu na mfano wake.
Hivi kiongozi, Nina swali ....

Mtume Mohammad alikuwa thehebu gani ndani ya uislamu...?
 
Bro unapoengelea suni unajua maana yake nini ?

Sasa ulitakiwa ujiulize kwanini saudia hakuna mapigano kama nchi nyingine za kiislamu ?

Wakina nani walijitoa muhanga kipindi hicho usemacho "fulani"

Kupigwa mabomu kuna hali mbili na hilo huwa ni shambulio la kuvizia je kinacho fata huwa nini ?

Vita zina masharti zake na nguzo zake. Hili pia ni somo.
Nchi zenye mapigano aidha migogoro ya kisiasa ambazo ni za kiislamu zipo kiongozi...
Tulishaona Iraq, Afghanistan, Yemen, Misri,Uturuki na hivi sasa Qatar na Saudia.
Haya sasa tuambie chanzo ya yote hayo kwa kila Nchi ni nini...?
 
Write your reply...hizi dini lengo lake ni moja tu,kumuabudu Mungu,tofauti ndogo ndogo kama sijui huyu hafungi sala,huyu anafungia kifuani sijui,hazimpunguzii Mungu vitamini yeyote ile,as long as lengo ni hilo la kumwabudu Mungu,huwezi kulazimisha mtu aamini au asali vilke wewe unataka,kila kiumbe kinawajibika kujibu matendo yake kwa mungu na sio kwa mfalume Salman bin saud
 
Nchi zenye mapigano aidha migogoro ya kisiasa ambazo ni za kiislamu zipo kiongozi...
Tulishaona Iraq, Afghanistan, Yemen, Misri,Uturuki na hivi sasa Qatar na Saudia.
Haya sasa tuambie chanzo ya yote hayo kwa kila Nchi ni nini...?
Chanzo ni ujinga.
 
Nataka niwaelimishe mawahabi kuwa si sahihi kuchukua makosa ya watu wachache ukalitwika kundi zima katika makosa hayo. Yaan ni sawa na kusema waislam ni malaya sana kwakigezo cha kumuangalia Diamond platnum anavyowagegeda hovyo wadada. Diamond hawez kutumiwa kama sample ya kulihukumu kundi zima la waislam.

Hivyo bas,wapo shia wanaoamini shahada 3 na wana Quran yao lkn pia wapo shia hawaamini hayo ya shahada 3 na wao wanaamini quran hii hii itumiwayo na masunni na wauslam wote. Shia wa aina hii pia hawana misimamo ya kufurutu ada na fiqhi yao ni kama hii ya masunni. Sasa unamuitaje mshia huyu ni kafiri kwakutizama makosa ya Ithnaashar?
Bro nazungumzia misingi ya ushia si mzungumzii mshia.

Sasa ukitaka kuujadili Ushia na mimi turudi katika misingi. Misingi ambayo USHIA hausimami bila misingi hiyo.


Shahada ya Shia ina utatu. Sasa niambie ni shia gani hana hii shahada akaitwa SHIA ?

Je niambie adhana gani ya Mashia haina utatu ?

Sasa hii ndio misingi ninayoizungumzia na ukiikanusha leta ushahidi.

Msingi mwingine wa Ushia ni kuwa maimamu wao 12 wamekingwa na makosa yaani MAASUMI. Sasa niambie ni Shia gani anapinga msingi huu ?

Mashia wana msingi wa Taqiyta,kuficha imani kwa maslahi fulani. Je kuna mshia anayepinga msingi huu ?

Mashia wanasema MUTA'A ni halali. Je kuna mshia anayepinga msingi huu ?

Mashia wanaitukuza ardhi ya karbala na kufikia kusema kwenda karbala ni bora kuliko kwenda hija mara elfu. Sasa waulize wanazuoni wako utukufu wa Karbala nani amesema ? Je ni mtume au ?

Huwa wanakauli ya kijinga sana isemayo " Tukio tukufu hufanya sehemu kuwa tukufu".

Ukiwauliza tukio gani tukufu ? Wanakwambia ni kuuawa kwa mjukuu wa mtume Hussein na ukiwauliza utukufu nani amesema na je ni kina nani waliomuua Hussein ?

Nitaendelea ukijibu hoja yangu hii.
 
a British spy named
Hempher, working in the early 1700s, tells
of disguising himself as a Muslim and
infiltrating the Ottoman Empire with the
goal of weakening it to destroy Islam
once and for all. He tells his readers:
"when the unity of Muslims is broken and
the common sympathy among them is
impaired, their forces will be dissolved
and thus we shall easily destroy them...
We, the English people, have to make
mischief and arouse schism in all our
colonies in order that we may live in
welfare and luxury."[4]
Hempher intends ultimately to weaken
Muslim morals by promoting " alcohol and
fornication," but his first step is to
promote innovation and disorder in Islam
by creating Wahhabism, which is to gain
credibility by being on the surface morally
strict. For this purpose, he enlists "a
gullible, hotheaded young Najdi in Basra
named Muhammad ibn Abd al-
Wahhab".[3] Hempher corrupts and
flatters Wahhab until the man is willing to
found his own sect. According to
Hempher, he is one of 5,000 British
agents with the assignment of weakening
Muslims, which the British government
plans to increase to 100,000 by the end of
the 18th century. Hempher writes, "when
we reach this number we shall have
brought all Muslims under our sway" and
Islam will be rendered "into a miserable
state from which it will never recover
again."[4]
Analysis
George Packer has characterised
Hempher's Memoirs as "probably the
labor of a Sunni Muslim author whose
intent is to present Muslims as both too
holy and too weak to organize anything
as destructive as Wahhabism".[8] Bernard
Haykel of Harvard's Olin Institute for
Strategic Studies describes the document
as an anti-Wahhabi forgery, "probably
fabricated by one Ayyub Sabri Pasha".[1]
Sabri Pasha, an Ottoman writer, studied at
the naval academy and earned the rank of
naval officer, serving for a time in the
Hijaz and Yemen. He wrote historical
works on the Saudi dynasty and died in
1890. In The Beginning and Spread of
Wahhabism, Ayyub Sabri Pasha recounts
the story of Abdul Wahhab's association
with Hempher the British spy, and their
plot to create a new religion.[
 
Write your reply...si utaje hapahapa huo ubaya wa washia?,na huyo mwandishi we fanya kupaste hapa paragraph chache kama amechemka ama anasema kweli tuone,kwanini ufanye siri?
ITIKADI ZA KISHIA
ZITUATAZO NI ITIKADI ZA KISHIA ZINAZOKHITALIFIANA KABISA NA ITIKADI ZA MASUNNI NA KUHITALIFIANA PIA NA WAISLAMU WENGINE
Itikadi hizi ni nyingi sana, lakini nitajaribu kuzitaja baadhi chache tu.
ITIKADI YA KWANZA
Itikadi ya ‘Ar-Raja-ah - nayo ni itikadi ya kufufuliwa na kurudi tena duniani baada ya kufa kabla ya siku ya Qiyaamah.
Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) katika Kitabu Chake kitukufu ameikanusha itikadi hii ya kurudi tena duniani baada ya mtu kufa, aliposema:
“Na yatapomfikia mmoja wao mauti, husema: “Mola wangu! Nirudishe (ulimwenguni) Ili nifanye mema sasa badala ya yale niliyoyaacha.” (Hujibiwa) “Hapana!” Hakika hili ni neno tu analolisema yeye: na mbele yao kuna maisha ya baada ya kufa (Barzakh) mpaka siku watakapofufuliwa.” [ Al-Muminuun: 100]
Kwa hivyo kufufuliwa na kurudi tena duniani kabla ya siku ya Qiyaamah kumekanushwa na Allaah Subhahanu wa Taala ndani ya kitabu chake kitukufu, lakini mafundisho ya Kishia yanaitakidi kuwa Kufufuliwa huko kupo.
Imeandikwa na Al-Kulayniy katika kitabu cha Al-Kaafiy kutoka kwa Ali (Radhiya Allaahu ‘anhu) kuwa amesema: “Sunnah imetupa elimu ya vifo na elimu ya matatizo, na (pia imetupa sisi) neno la mwisho, na mimi ndiye Mwenye kurejea tena na tena na mweneye dola, na mimi ndiye mwenye fimbo na mwenye mnyama atakayezungumza na watu.”
Haya yamo ndani ya kitabu cha Al-Kaafiy Juzuu ya mwanzo ukurasa wa 198.
Alieyekifanyia tahakiki kitabu hiki Ali Akbar Al Ghafari anasema:
“Neno ‘Mwenye kurejea tena na tena’, maana yake mwenye kufufuliwa tena na tena, yaani atarudi duniani mara nyingi baada ya kufa kwake.
Hapa tutataja majina ya Maimamu wa Madhehebu ya KiIthnaa ‘Ashariyah:
1. ‘Aliy bin Abi Twaalib (Radhiya Allaahu ‘anhu)
2. Al-Hasan bin ‘Aliy bin Abi Twaalib (Radhiya Allaahu ‘anhu)
3. Al-Husayn bin ‘Aliy bin Abi Twaalib (Radhiya Allaahu ‘anhu)
4. ‘Aliy bin Al-Husayn bin ‘Aliy bin Abi Twaalib (Radhiya Allaahu ‘anhu)
5. Muhammad bin ‘Aliy (maarufu kwa jina la ‘Al Baaqir’) (Radhiya Allaahu ‘anhu)
6. Ja’afar bin Muhammad (maarufu kwa jina la ‘Asw-Swaadiq’) (Radhiya Allaahu ‘anhu)
7. Musa bin Ja’afar (maarufu kwa jina ‘Al Kadhim’) (Radhiya Allaahu ‘anhu)
8. ‘Aliy (maarufu kwa jina la ‘Ar-Ridha’ yaani ‘Aliy Ar-Ridhaa’) (Radhiya Allaahu ‘anhu)
9. Muhammad (maarufu kwa jina la Muhammad Al Jawad) (Radhiya Allaahu ‘anhu)
10. ‘Aliy (maarufu kwa jina la ‘Ali Al Hadi’) (Radhiya Allaahu ‘anhu)
11. Al-Hasan bin ‘Aliy (maarufu kwa jina la Al Askari) (Radhiya Allaahu ‘anhu)
12. Al Muntadhir (Mahd) ‘anayesubiriwa’ (na huyu ana majina mengi sana yakiwemo: Al Ghaib (asiyekuwepo), Al Muntadhir (anayesubiriwa), Al Khaif (mwenye kuogopa), na majina mengi mengine aliyebandikwa.
Na kabla ya kuendelea mbele kwa kuzitaja riwaya zilizopokelewa na Al-Kulayniy katika kitabu chake maarufu cha Al-Kaafiy, ningependa kukutanabahisheni jambo moja muhimu sana: nalo ni kuwa riwaya zote nitakazozitaja zilizoandikwa ndani ya vitabu vyao hivyo ni uongo waliosingiziwa Maimamu hawa ukwa wamesema. Kwani sisi tunawatakasa ‘Aliy bin Abi Twaalib na Al-Hasan na Al-Husayn na Ja’afar na Muhammad na Musa na Ali na Muhammad Al Jawad na wote hawa (RAnhum) kuwa haiwezekani wao kuyatamka haya.
Sisi tunawatakasa wote hawa kuwa hawawezi kusema uongo kama huu waliowazulia, lakini ninachokusudia ni kuwa haya ndiyo yaliyomo ndani ya vitabu vyao.
Kwa hivyo anaeleza Al-Kulayniy katika kitabu cha Al-Kaafiy kutoka kwa Ja’afar bin Muhammad anayejulikana kwa jina la Ja’afar Asw-Swaadiq (Radhiya Allaahu ‘anhu) kuwa amesema:
“Hakika Allaah aliwaambia Malaika: ‘Mubaki penye kaburi la Al-Husayn mpaka mtakapomuona akitoka (kutoka kaburini pake) hapo mumnusuru na mulie kwa ajili yake na kwa ajili ya yaliyokupiteni katika ushindi wake, kwani nyinyi mumehusishwa kwa ajili ya kumnusuru yeye na kumliliia.”
Kisha anaendelea kusema:
“Malaika wakalia kwa huzuni kubwa kwa yale yaliyowapita kwa kukosa kumnusuru. Na atakapotoka (kaburini pake) watamnusuru (watapigana kwa ajili yake).”
Na ‘atakapotoka’, wanakusudia pale atakapotoka Al Mahdi Al Muntadhir wanayemsubiri maana itikadi yao ni kuwa wakati huo na Al-Husayn atafufuka na kurudi tena duniani, na hapo ndipo Malaika watakapomnusuru.
Wao wanaitakidi kuwa pale atakapokuja huyo wanayemsubiri, na Maimamu wote waliotangulia watatoka na kuwa pamoja naye.
Haya yamo ndani ya kitabu cha Al-Kulayniy kiitwacho Al-Kaafiy Juzuu ya kwanza ukurasa wa 284.
Na Itikadi yao hii ya mtu kufufuliwa tena hapa duniani ni itikadi tukufu sana kwao inayokwenda kinyume na maneno ya Allaah kama mlivyoona.
ITIKADI YA PILI
Kauli zao kuwa Masahaba wote walirtaddi (walitoka katika dini ya Kiislamu isipokuwa wachache sana)
Imesimuliwa na Al-Kulayniy katika kitabu cha Al-Kaafiy kutoka kwa Muhammad bin ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘anhu) na umaarufu wake ni Muhammad Al Baqer kuwa amesema: “Watu wote walirtaddi baada ya kufariki kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) isipokuwa watatu (tu).”
Ar-Rawdhah katika kitabu cha Al-Kaafiy ukurasa wa 246
Na imeandikwa humo pia kuwa Muhammad bin ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema:
“(Al Muhajirin) Watu wa Makka na (Al Ansar) watu wa Madina (wote) walitoka katika dini isipokuwa watatu (tu).”
Al-Kaafiy – Juzuu ya 2 ukurasa wa 244
Amesimulia huyo huyo Al-Kulayniy katika kitabu cha Al-Kaafiy kutoka kwa Muhammad bin Ja’afar kuwa amesema:
“Watatu Allaah hatosema nao siku ya Qiyaamah na wala hatowatakasa na watapata adhabu iumizayo
1- Kila anayeukataa uimamu wetu unaotoka kwa Allaah,
2- na kila anayemkanusha Imamu aliyeletwa na Allaah
3- na kila anayesema kuwa watu wawili hawa ni Waislamu.”
Watu wawili wanaokusudiwa katika hadithi hii ni Abu Bakr na ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu). Na maana yake ni kuwa kila anayesema kuwa Abu Bakr na ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) ni Waislamu basi Allaah hatosema naye wala hatomtakasa siku ya Qiyaamah na atapata adhabu iumizayo.
Hadithi hii imo katika kitabu cha Al-KaafiyJuzuuu ya kwanza ukurasa 373
ITIKADI YA TATU
Kauli yao kuwa kila asiyekuwa Shia ni kafiri – watu wote ni makafiri isipokuwa Mashia. Na yareti kama wangenyamaza hapo, bali wameendelea kusema kuwa: Kila asiyekuwa Shia ni kafiri na ni mtoto wa zina .
Amesema Bin Babawayh, na huyu ni katika maulamaa wao wakubwa wa elimu ya hadithi kuwa:
‘Kila anayemkanusha Imam anayesubiriwa, ukafiri wake ni mkubwa kupita hata wa Ibilisi – Yeyote anayemkanusha imamu ‘asiyeonekana’, ukafiri wake mkubwa kupita wa Ibilisi.”
Ikmalu ddin – Ukurasa 13
Ameeleza Al-Kulayniy katika Al-Kaafiykutoka kwa Muhammad al Baqer kuwa:
‘Watu wote ni watoto wa zina isipokuwa Mashia wetu.”
Na haya yamo katika Ar-Rawdhah - Al-Kaafiy ukurasa wa 239
Imesimuliwa na Al-Kulayniy katika Al-Kaafiy kutoka kwa Ar-Ridha kuwa amesema:
“Hakuna Muislamu isipokuwa sisi na Mashia wetu.”
Juzuu ya 1 ukurasa wa 233
Anasimulia Al-Kulayniy katika Al-Kaafiy pia kutoka kwa Ja’afar bin Muhammad Asw-Swaadiq kuwa amesema:
“Shetani huja na kukaa juu ya mwanamke sawa kama anavyokaliwa na mumewe, na hutenda kama anavyotendewa na mumewe na kumuingilia kama anavyoingiliwa.”
Muulizaji akauliza:
“Vipi tutaweza kutofautisha?”
Yaani vipi mwanamke anaweza kujulikana iwapo ameingiliwa na shetani au ameingiliwa na mumewe?
Akajibu:
“Kwa kutupenda na kutuchukia. Kila anayetupenda basi tone yake imetokana na binadamu, na kila anayetuchukia basi tone yake imetokana na shetani.”
Juzuu ya 5 katika kitabu cha Al-Kaafiy ukurasa wa 502
Amesema Ni’imatullah al-Jazaairiy – na huyu ni katika maulamaa wao wakubwa wa elimu ya hadithi katika wakati wake kuwa:
“Sisi hatuko pamoja nao – (anakusudia Masunni) hatuko pamoja nao katika Mungu wala katika Mtume wala katika Imamu, na hii ni kwa sababu wanasema kuwa Mungu wao ni yule ambaye Muhammad ni Mtume wake na Abu Bakr ni Khalifa baada yake – na sisi tunasema: sisi hatumuabudu Mungu huyo wala Mtume huyo, bali tunasema kuwa Mungu aliyemuumba Abu Bakr kuwa ni Khalifa wa Mtume wake, huyo si Mungu wetu, na wala Mtume huyo si Mtume wetu.”
Amesema haya katika kitabu kiitwacho: ‘Al Anwar Al Nuamaniyah – Juzuu ya 2 ukurasa wa 278
Anasema Al-Huuru Al-’Aamiliy kuwa:
‘Ni’imatullah al-Jazaairiy ni mtu mwema, mwanachuoni, na mfanya tahakiki mkubwa sana.’
Amesema Al Khansariy:
‘Niamatullah alikuwa miongoni mwa wanachuoni wetu wakubwa sana na alikuwa bahari ya elimu katika wakati wake katika lugha ya kiarabu, na katika elimu ya Fiqhi na ya Hadith.’
Na Al Tijani ambaye ni mwanachuoni wao mkubwa katika zama hizi anasema:
‘Mungu aliyeridhika kumfanya Abu Bakr kuwa Khalifa baada ya Mtume, sisi hatumtaki Mungu huyo.”
Ameyasema haya katika mhadhara alioufanya huko London na kaseti yake tumeihifadhi
 
Mkuu niliposema wasuni nilikuwa naakisi wasaudia, nikasema hii vita ya iran na saudia sio ya kidini ni vita ya kiuchumi iliyovalishwa sura ya kidini kwa maslahi ya watu/mataifa husika. Kwa sasa saudia ndio mnufaika namba moja kiuchumi wa uwepo wa uislamu duniani. Pia Iran ni jirani yake saudia. Lengo la iran ni kuhakikisha washia wanakuwa wengi na wenye nguvu ili baadae iran kwa mwanvuli wa ushia wadhibiti miji mitakatifu ya makka na madina na wapate hizo faida za kiuchumi. Ndio maana saudia anamuhofia zaidi iran kuliko hata israel na marekani. Kwa Saudia ni bora Israel amiliki nyuklia kuliko nduguye Iran. Na ndio sababu wanashindania kuidhibiti Yemen, Syria , Lebanon na Iraq ili kujiimarisha na kupandikiza vibaraka wao. Wakati Iran ananunua silaha kutoka urusi Saudia ananunua kutoka marekani.
Serikali ya Iran inatumia mabilion ya pesa kila mwaka kueneza ushia duniani hasa kwa kuwabadili wasunni kuwa washia na wamefanikiwa sana hasa baada ya kuondolewa vikwazo na Obama maana walipata pesa za kujenga misikiti mpya na kuwakrimu waumini wapya. Tishio hili lilianza baada ya mapinduzi ya washia Iran miaka ya 1970's.
Mkuu hiyo misikitini inajengwa maeneo gani?
 
Back
Top Bottom