Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Ebu acha kutuchosha wewe ili mtu aingie katika UISLAMU anatakiwa akiri kuwa ALLAH ndio Mungu na Mohammad ni mtume wake , je Shia anakiri hili au akubali hili? unauliza maswali ya kitoto wakati msingi wa kuingia katika UISLAMU upo wazi
Unapoulizwa unatakiwa ujibu kwa jinsi ulivyoulizwa na kukataa kujibu kwa kigezo cha kuchoshwa huo ni Ufasiq.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hoja dhaifu

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Angalia huyu njia ya kuingia katika UISLAMU ni kumkiri ALLAH ni Mungu na Mohammad ni mtume wake swali shia wanalifanya hili au wanalikataa ?
 
Unapoulizwa unatakiwa ujibu kwa jinsi ulivyoulizwa na kukataa kujibu kwa kigezo cha kuchoshwa huo ni Ufasiq.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Unaulizaje maswali ambayo yako nje ya ukweli ? mtu anakuja hapa anakwambia Mashia wanaingilia watu kinyume na umbile sasa huo si ujinga
 
Unaulizaje maswali ambayo yako nje ya ukweli ? mtu anakuja hapa anakwambia Mashia wanaingilia watu kinyume na umbile sasa huo si ujinga
Hakuna swali liloulizwa nje ya ukweli, wewe ndio unaukataa ukweli ambao uko wazi, kwani katika lipi nilouliza ambalo Shia hawalifanyi?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Ushahidi gani unataka nikuwekee hapa ndio umefika

Nacheka sana.

Niandikie itikadi tano tu za ushia huku ukiweka ushahidi toka kwenye vitabu vyao,ukianzia na shahada na pia uniandikie misingi mitano tu ya Ushia na ushahidi pia.
 
Hakuna swali liloulizwa nje ya ukweli, wewe ndio unaukataa ukweli ambao uko wazi, kwani katika lipi nilouloza ambalo Shia hawalifanyi?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Wapi shia wanafundisha watu kuingilia watu kinyume cha maumbile ? wakati habari ya sodoma ipo katika QURAN , mnapenda sana kuambiana habari za vijiweni
 
Unaulizaje maswali ambayo yako nje ya ukweli ? mtu anakuja hapa anakwambia Mashia wanaingilia watu kinyume na umbile sasa huo si ujinga
Swali lipi ambalo lipo nje ya ukweli, huwajui mashia wala ushia. Wala huelewi kile mtume Muhammad (S.A.W) alichokisema kuhusu kundi la waislam waliopotea baada ya kuuwawa kwa khalifa Uthman (R.A) kitu ambao aliweka wazi mwenyewe mtume kabla ya kifo chake. Kawasome mashia na Sirra.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Mkuu kuamini ni hiyari ya Mwanadamu nchi zenye nguvu duniani zipo sababu zilizo dhahiri zinazosababisha watu waamini au wakubali kua China ,Marekani,Urusi Japan nk, ni nchi zenye nguvu zaidi duniani tunaomba tusaidie kuelewa point yako ya kua Iran ni taifa lenye nguvu sana na ila imefichika ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka sana.

Niandikie itikadi tano tu za ushia huku ukiweka ushahidi toka kwenye vitabu vyao,ukianzia na shahada na pia uniandikie misingi mitano tu ya Ushia na ushahidi pia.
Kitambulisho cha kuingia katika UISLAMU ni shahada hii Mashia wanaitamka na niwaislamu kabisa , kwa kutamka Shahada umekuwa Muislamu na hilo Mashia wanalifanya , nakuuliza unataka ushahidi gani juu ya hili ,
 
[emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uhuni wewe
 
Kitambulisho cha kuingia katika UISLAMU ni shahada hii Mashia wanaitamka na niwaislamu kabisa , kwa kutamka Shahada umekuwa Muislamu na hilo Mashia wanalifanya , nakuuliza unataka ushahidi gani juu ya hili ,
Niwekee shahada ya Mashia toka kwenye votabu vyao mzee.

Nataka ushahidi wa shahada toka kwenye vitabu vya Mashia,usikimbie swali na kurudia rudia swali. Maana nikikupuuza unajiona unajua kumbe watu tumechoshwa na ujinga unao uandika.

Kwa jinsi ninavyokuona unaruka ruka,yawezekana hata vitabu vya mashia huvijui wala hata wasomi wao huwajui.

Naisubiri hapa.
 
Hata Kama anakaa Tandale kwa mfuga mbwa anajihisi Yuko pembezone mwa Jini la Riyadh....sijui vichwa vyao vimejaa kamasi la Aina gani mkuu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia shahada inatoka katika vitabu vya Mashia ? Quran ndio imemkiri Allah na Mtume wake sasa unataka shahada kutoka vitabu vya kishia huu ni ukichaa mkubwa , Shahada ni Allah na mtume wake iwe shia iwe wahabi iwe nani usipende kupikia watu maneno
 
Kwanini Shia wanaongezea Ali Radhiullah, wameitoa wapo ndani ya Quran?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Kwanini Shia wanaongezea Ali Radhiullah, wameitoa wapo ndani ya Quran?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hiyo sio sehemu ya shahada ata usipoitamka , hakuna ulazima wowote wa kutamka ilo neno wanaonyesha mapenzi yao kwa mpwa na mkwe wa mtume Ali labda uniambie kuonyesha mahaba kwa Ali ni dhambi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…