Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Wewe una uhakika gani kuwa Hayo mafundisho unayo yajua kuhusu uislam ndiyo mafundisho sahihi aliyo fundisha na kuyaacha mtume ...waweza kutupa huo uhakika ??
Kwa wale wanaosema Shia ni Waislam thabit nataka wajibu hapa maswali yangu haya matano kwanza
1. Je, umeshawahi kuiskia shahada ya Shia? Wanatamkaje?
2. Je, ndio mafundisho ya mtume na Quran yalivyosema kuhusu shahada?
3. Je umeshawahi kuiskia adhana ya Shia?
4. Je, ndivyo uislam ulivyosema kuhusu adhana?
5. Je mnajua kuwa mashia wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile? Uislam umesemaje kuhusu mwenye kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile?
Tuanzie hapo kwanza.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio sehemu ya shahada ata usipoitamka , hakuna ulazima wowote wa kutamka ilo neno wanaonyesha mapenzi yao kwa mpwa na mkwe wa mtume Ali labda uniambie kuonyesha mahaba kwa Ali ni dhambi ?
Tafuta chimbuko la ushia sio unakaa kibisha bisha tu

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Tafuta chimbuko la ushia sio unakaa kibisha bisha tu

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ujui kitu kabisa hapa unaongea na mtu asiebahatisha , rudi wewe ukasome Abubakari alipigana vita na wakina nani kwa mda usiopungua mwaka mzima , kamsome Omari kwanini aliuliwa na nani alimuua, vip kuhusu Othman aliuliwa kama kuku, mwisho kajifunze kwanini Ali alihamishi makao yake makuu kutoka Mecca kwenda IRAQ, vile vile kajifunze kwanini Aisha alistaafu kujihusisha na mambo ya utawala baada ya kichapo kilichopata jeshi alilotuma kulipa kisasi cha Othman ,ukishafahamu utajua jambo muhimu, ukishindwa kujua kitu niulize nikupe elimu mbadala achana na mambo ya kukariri
 
Wewe una uhakika gani kuwa Hayo mafundisho unayo yajua kuhusu uislam ndiyo mafundisho sahihi aliyo fundisha na kuyaacha mtume ...waweza kutupa huo uhakika ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma Sirra, soma hadith sahihi. Kikubwa zaidi Soma Quran ndio msingi wa Uislam. Shia kwanza kabisa wana Quran yao sio hii inayotumiwa na waislam waliobaki. Na inaitwa Quran ya Fatima. Na vile vile shia hawana imani na Makhalifa waliotangulia watatu wa Uislam yaani Omar (R.A), Abi Bakr (R.A) na Uthman (R.A). Wao wanaamini kuanzia Ali(R.A) kuwa ndio khalifa wao pamoja na kizazi chake na kuendelea. Pia imani yao khalifa yeyote ni lazima awe ni kutoka uzao wa mtume Muhammad (S.A.W).
ASILI YA CHIMBUKO LA SHIA.
Asili ya chimbuko la shia ni baada ya kuuawa Uthman bin Affan.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Jerusalem Ni Centre of Business Tangu Waajemi(WaIRAN) na walipokuwa WaTawala.

ISrael ipo katikati Zone Ya Mipaka ya Vita.

Ni kweli kabisa Kiongozi wa Dini Iran Ndo Mtu Wa Mwisho kutoa maamuzi.
Na wanaitwa Ayyatollah,,,,Na wanaandaliwa katika dunia ya siri mno ndanibya Irani.

Huwa ni special selected Islamic Students,,,School zao wanazowachagua huitwa "Hawzah"

Kuna mambo mengi tu yanafanyika na yakuelezea.

Sema Dunia imefunikwa na propaganda mno.

Wengi hawaamini katika uwezo wa taifa hili.

Lakini Ni Taifa Imara zaidi kuwahi kutokea lenye itikadi za dini.
Naomba ujue kwamba hata ndani ya Irani US Dollar haitumiki na makampuni ya US hayaruhusiwi kufanya uwekezaji.
Haya mambo ya akina Ayyatollah yalianza mwaka 1989 hao wana dini walipopindua serikali. ama sivyo Iran ni Taifa la kiliberal kuliko hata Marekani.
 
Ujui kitu kabisa hapa unaongea na mtu asiebahatisha , rudi wewe ukasome Abubakari alipigana vita na wakina nani kwa mda usiopungua mwaka mzima , kamsome Omari kwanini aliuliwa na nani alimuua, vip kuhusu Othman aliuliwa kama kuku, mwisho kajifunze kwanini Ali alihamishi makao yake makuu kutoka Mecca kwenda IRAQ, vile vile kajifunze kwanini Aisha alistaafu kujihusisha na mambo ya utawala baada ya kichapo kilichopata jeshi alilotuma kulipa kisasi cha Othman ,ukishafahamu utajua jambo muhimu, ukishindwa kujua kitu niulize nikupe elimu mbadala achana na mambo ya kukariri
Hujui then hujijui kama hujui!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Kwa wale wanaosema Shia ni Waislam thabit nataka wajibu hapa maswali yangu haya matano kwanza
1. Je, umeshawahi kuiskia shahada ya Shia? Wanatamkaje?
2. Je, ndio mafundisho ya mtume na Quran yalivyosema kuhusu shahada?
3. Je umeshawahi kuiskia adhana ya Shia?
4. Je, ndivyo uislam ulivyosema kuhusu adhana?
5. Je mnajua kuwa mashia wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile? Uislam umesemaje kuhusu mwenye kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile?
Tuanzie hapo kwanza.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Unamaanisha kwamba wanawake wa kishia wanajua kwamba kuingiliwa kwa nyuma ni sehemu ya ibaada.
 
Mkuu naomba unipatie hizo history kama hautojali...maana kuna mambo nengi sana Watu wengi same fundishwa ndivyo sivyo na kukarilishwa kuwa ndio sahihi
Ujui kitu kabisa hapa unaongea na mtu asiebahatisha , rudi wewe ukasome Abubakari alipigana vita na wakina nani kwa mda usiopungua mwaka mzima , kamsome Omari kwanini aliuliwa na nani alimuua, vip kuhusu Othman aliuliwa kama kuku, mwisho kajifunze kwanini Ali alihamishi makao yake makuu kutoka Mecca kwenda IRAQ, vile vile kajifunze kwanini Aisha alistaafu kujihusisha na mambo ya utawala baada ya kichapo kilichopata jeshi alilotuma kulipa kisasi cha Othman ,ukishafahamu utajua jambo muhimu, ukishindwa kujua kitu niulize nikupe elimu mbadala achana na mambo ya kukariri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui then hujijui kama hujui!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ahahahahhaha lazima huufyate hizi nondo zimekuzidi uzito mimi najua vitu ambavyo wewe ata uruke ruke huwezi vijua ,ahahahahaha kasome kwanini Abubakari pamoja na kuongoza miaka 2 tu , lakini watu walimuasi akapigana vita kwa zaidi ya mwaka , halafu jiulize kwanini walimuasi ? Misimamo ya kishia haijaanza bahati na nasibu watu awataki mchezo wako serious
 
Bado haujajibu swali langu'' Mimi na wewe na wengine pia wote mafundisho ambayo tunayo kuhusu masuala ya imani ni masimulizi yaliyoandikwa katika vitabu ambayo tume ya kuta na kusimuliwa na watu mbali mbali karne na karne ...

(1)Swali ni hili ----Una uhakika Upi kuwa hicho ulicho fundishwa ndio sahihi iwe ni Qur'an au hadithi kama ulivyosema ......

(2) Una uhakika upi kuwa mafundisho uliyo Nayo ndio sahihi na Yale ambayo wanayo shia sio sahihi ...wakati hiyo njia uliyo jifunza kuipata hiyo elimu ni njia ya masimulizi na wewe haukuwepo wakati wa mtume .....
Soma Sirra, soma hadith sahihi. Kikubwa zaidi Soma Quran ndio msingi wa Uislam. Shia kwanza kabisa wana Quran yao sio hii inayotumiwa na waislam waliobaki. Na inaitwa Quran ya Fatima. Na vile vile shia hawana imani na Makhalifa waliotangulia watatu wa Uislam yaani Omar (R.A), Abi Bakr (R.A) na Uthman (R.A). Wao wanaamini kuanzia Ali(R.A) kuwa ndio khalifa wao pamoja na kizazi chake na kuendelea. Pia imani yao khalifa yeyote ni lazima awe ni kutoka uzao wa mtume Muhammad (S.A.W).
ASILI YA CHIMBUKO LA SHIA.
Asili ya chimbuko la shia ni baada ya kuuawa Uthman bin Affan.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna history niliipata ..inasema kwamba baada ya so. Called mtume kufa ...uliibuka mtafaruku mkubwa sana baina yao ..kiasi kwamba hata ally wakampiga vita kabisa waziwazi .... Na hata hii Qur'an ambayo inatumika hivi sasa ilichaka chuliwa chaka chuliwa kisha viongozi waliokuwa na ushawishi katika wakati huo wakaamuru ichapwe ile ambayo wanaona Ina maslahi kwa upande wao ....

Je kuna ukweli katika hili ?
Ujui kitu kabisa hapa unaongea na mtu asiebahatisha , rudi wewe ukasome Abubakari alipigana vita na wakina nani kwa mda usiopungua mwaka mzima , kamsome Omari kwanini aliuliwa na nani alimuua, vip kuhusu Othman aliuliwa kama kuku, mwisho kajifunze kwanini Ali alihamishi makao yake makuu kutoka Mecca kwenda IRAQ, vile vile kajifunze kwanini Aisha alistaafu kujihusisha na mambo ya utawala baada ya kichapo kilichopata jeshi alilotuma kulipa kisasi cha Othman ,ukishafahamu utajua jambo muhimu, ukishindwa kujua kitu niulize nikupe elimu mbadala achana na mambo ya kukariri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unipatie hizo history kama hautojali...maana kuna mambo nengi sana Watu wengi same fundishwa ndivyo sivyo na kukarilishwa kuwa ndio sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafungua Uzi siku moja ila nakupa mwangaza kidogo

1.Sababu kubwa ya Suni na shia kutofautiana ni kuhusu successor wa Mtume Mohammad, yaani baada ya mtume kufa nani alistahili kuwa kiongozi wa waislamu , Mashia wanasema ni lazima atoke katika udugu wa mtume lakini Masuni wanasema yeyotew tu , Mashia wamelipinga hili

2.Alipokufa mtume , wakina Omary wakakaa na maswahaba wengine wakamchagua Abubakari kuwa kiongozi , kundi miongoni mwa waislamu likaasi kuwa katu hawamtambui , Abubakar akaingia vitani akapigana nao muda mrefu akazima uasi , lakini wapi watu hawakukubali waliendelea kuasi mpaka leo hawajakubaliana juu hili jambo , hivyo hao waasi ndio wanashabihiana na hawa SHIA wenyewe , kiufupi ni hivyo , nitaandaa nitakuja imwaga hapa siku moja
 
Kuna history niliipata ..inasema kwamba baada ya so. Called mtume kufa ...uliibuka mtafaruku mkubwa sana baina yao ..kiasi kwamba hata ally wakampiga vita kabisa waziwazi .... Na hata hii Qur'an ambayo inatumika hivi sasa ilichaka chuliwa chaka chuliwa kisha viongozi waliokuwa na ushawishi katika wakati huo wakaamuru ichapwe ile ambayo wanaona Ina maslahi kwa upande wao ....

Je kuna ukweli katika hili ?

Sent using Jamii Forums mobile app
"The rightful successor of prophet mohammed" hili ndio dudu lenye kuleta matatizo kwa Shia na Suni
 
Okay okay... Lakini wewe unavyoona kwa mustakabali huo ...Hatuoni kwamba hao wanaopinga kuwa viongozi ni lazima watoke katika ukoo wa mtume ... Wanataka kuifanya dini kuwa ni ya ukoo Fulani ??

Na je palikuwa na sababu zipi za msingi za kina abubakari kutokubaliana na mawazo ya wenzao...??

Kama Qur'an ndio muongozo wa kiislam kama ambavyo inavyotamkwa ....Ina maana ilishindwa kutoa majibu ya huo mtafaruku wao walionao kiasi ambacho ikapelekea mpaka waislam wao kwa wao waka mwagana Damu ??!!

Je nitakuwa nakosea endapo nikisema kwamba Hiyo Dini ina dira bandia
Nitafungua Uzi siku moja ila nakupa mwangaza kidogo

1.Sababu kubwa ya Suni na shia kutofautiana ni kuhusu successor wa Mtume Mohammad, yaani baada ya mtume kufa nani alistahili kuwa kiongozi wa waislamu , Mashia wanasema ni lazima atoke katika udugu wa mtume lakini Masuni wanasema yeyotew tu , Mashia wamelipinga hili

2.Alipokufa mtume , wakina Omary wakakaa na maswahaba wengine wakamchagua Abubakari kuwa kiongozi , kundi miongoni mwa waislamu likaasi kuwa katu hawamtambui , Abubakar akaingia vitani akapigana nao muda mrefu akazima uasi , lakini wapi watu hawakukubali waliendelea kuasi mpaka leo hawajakubaliana juu hili jambo , hivyo hao waasi ndio wanashabihiana na hawa SHIA wenyewe , kiufupi ni hivyo , nitaandaa nitakuja imwaga hapa siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni nearly. ..though unapaswa kujibu swali

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tena ulichoandika, wewe ni ...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Jadili hoja ya msingi ...hiyo ni typing error katika uandishi hayo ni makosa ya kawaida

Mbona hata mungu wenu anaumba watu ambao ni walemavu ..na binaadamu wana msaidia kwa kuwafanyia operation watu hao ili waweze kuwa kama binaadamu wengine...

Inamaana hata huyo mungu wenu huwa anavuta bangi!?? Careem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shia wana imamu wao 12 ukianzia kwa Ali ambao bila shaka ndio wao wanaamini alikuwa na vigezo vyote kuwa kiongozi wa waislamu ukilinganisha na hawa wengine , ndio maana hawa maswahaba kama Abubakari na Omari wanaonekana walimpora Ali madaraka , ugomvi ni mkubwa mda ni mchache silaha kubwa ya wafuasi wa abubakar na Omari ambao ni Masuni ni kujaribu kuwatia Shia kashfa ya ukafiri ili wapate kuwatenga , ila Shia wako imara kama chuma
 
Back
Top Bottom