hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Wewe una uhakika gani kuwa Hayo mafundisho unayo yajua kuhusu uislam ndiyo mafundisho sahihi aliyo fundisha na kuyaacha mtume ...waweza kutupa huo uhakika ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wanaosema Shia ni Waislam thabit nataka wajibu hapa maswali yangu haya matano kwanza
1. Je, umeshawahi kuiskia shahada ya Shia? Wanatamkaje?
2. Je, ndio mafundisho ya mtume na Quran yalivyosema kuhusu shahada?
3. Je umeshawahi kuiskia adhana ya Shia?
4. Je, ndivyo uislam ulivyosema kuhusu adhana?
5. Je mnajua kuwa mashia wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile? Uislam umesemaje kuhusu mwenye kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile?
Tuanzie hapo kwanza.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Sent using Jamii Forums mobile app