Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Hilo swali lako jibu ni debatable kwasababu wakati wa uhai wa mtume Ali na Abu bakr wote wangestahili kwani wote walikuwa na sifa...
Mtume alishasema kama angetokea mtume baada yake angekuwa umar so ingewezekana umar angepewa...lakini pia mtume alimuongelea sana Ali na kumsifia kuwa ni mtu mwenye elimu sana ya dini
Mtume alishasema kama angetokea mtume baada yake angekuwa umar so ingewezekana umar angepewa...lakini pia mtume alimuongelea sana Ali na kumsifia kuwa ni mtu mwenye elimu sana ya dini
Swali dogo kwako: Je kama lingetokea tatizo lolote kwa wakati huo, ni nani angekiwa kiongozi wa umma wa kiislam?
NB:
Katika Uislam hakuna uongozi wa kifalme kama baba yako akifariki, ama kaka yako aliyekuwa ameshika uongozi akifariki wewe unarithi. Au kama ukiwa mtoto wa shekhe na baba yako akifariki we unashika madaraka.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD