Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Nimekupa logic ndogo kuwa Mungu anaweza kukupenda ukiwa unafanya mazuri kama ibilisi alipokuwa mchamungu, alipofanya uovu Mungu akamchukia, ata Omari alipokuwa anafanya mazuri alipendwa , alipoanza ujinga wake basi akawa mtu muovu , unawezaje kujiita swahaba wa mtume kipenzi uendi kuzika kisa huko busy na madaraka , huu ni uroho mkubwa nakifikir nimeeleweka
 
Loh!! Hajatamani kufufuliwa??
 
Unajua maana ya ubashiri ? ukibashiriwa pepo maana bado ujaingia peponi mpaka ufe kwenye matendo mema sio uroho wa madaraka , sasa kisa umebashiriwa pepo ndio uzini au useme uwongo au umbishie mtume ? kasome tena kijana
 
Sasa mzee kwani uislam ni dini ya ukoo!!? Mpaka viongozi wote watoke kwenye ukoo wa mtume ama uislam ni dini ya mtume!?
Swala hapa kwanini watu wanafanya uchaguzi wakati wengine wako msibani ? unasemaje huu ni uchaguzi wa waislamu wakati watu wako kwenye majonzi ata mtume ajazikwa ? ule uchaguzi ni batili kwasababu walioko katika msiba awajapewa fursa ya kushiriki vilevile ungekuwa huko huru ungefahamu kwa urafiki wa Abubakar na mtume iweje aache mazishi agombee kuchaguliwa , ndio hapo tunaposema hawa walikuwa na tamaa ya madaraka , udugu hauna tatizo ata Daudi alimuachia kijiti Selemani shida iko wapi ?
 
Sio kila kitu anachiwa Mungu kuna vingine hata sisi tunaviweza kuvisema dini ya Uislamu na Ukristo zina utofauti sana na ndo mana kwenye hili hatuelewani
Sisi waislamu hatuwatambui Washia kama ni waislamu na haitokuja tokea tukawaweka Washia kwenye uislam kutokana na matendo yao mengi hayako katika sheria za kiislam
Wenyewe wanajiita Jamuhuri ya Kiislamu halafu wengine tukatae kwa sababu ya ubaguzi tu wa Usuni na Ushia,that's so crazy. Ni kama Catholics waseme Lutherans sio Wakristo,kazi ya ku judge aachiwe Mungu(for believers).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kuujua Ushia unafahamu kuwa Omar alikataa mtume asiandike final wish siku chache kabla ya kufa kwake ? nakuuliza unalifahamu hili
Twende na uthibitisho, maana mtume mwenyewe alifia mikononi mwa Ali na wanafamilia walikuwa wamemzunguka. Je asingeweza kuwaambia kiwa mrithi wao ni Ali (A.S)?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Unawezaje kuwaita watu waliobashiriwa pepo wakiwa hai ni waroho wa madaraka, kwahiyo wewe unajua sana kuliko Allah (S.W.T) mwenyewe?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Huna ushahidi kijana unapoteza muda na kujitoa ufahamu
 
Ushahidi gani wewe unauliza kisichokuwepo mashia wanafata Sunah na Quran , Shahada ipo katika Quran na ipo katika Sunah sasa unataka ushahidi gani au nikuletee nukuu ya kumkiri ALLAH na mtume wake ndani ya QURAN? acha kunichosha
Tunawazungunzia Mashia hapa kijana.

Nasubiri ushahidi.
 
Kweli elimu yako ni ndogo sikatai hata masikio nayo nimadogo mpaka unashindwa kutofautisha hata adhana ya kishia na wengine
Kamwe na haitokuja kutokea mwanasuni akaenda sali kwenye msikiti wa shia
Nijuavyo mimi kwa maana ya elimu nliyonayo (though kidogo). Kuhusu vyanzo, mi sio muislamu ila ndugu zangu wengi ni Waislamu (sio wa Bakwata).. Sijawahi kuona msikiti wa Washia na Wasunni. Wote wanasali pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushia sio usuni lakini vyote ni uislam
Iran sio jamhuri ya kisuni maana ushia unapingana na usuni...lakini Iran ni jamhuri ya kiislam inayoongozwa na sharia na quran
Ushia sio Usuni na wala usije ukafananisha Usuni na Ushia
Iran sio Jamuhuri ya Kiislamu mana ushia unapingana na Uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hujajibu swali bali unahoji kivivu. Nilikwambia ukiwa unajibu hayo maswali uweke na ushahidi,huna ushahidi kijana.

Halafu pili,unaweza kunipa ushahidi ya kuwa hawakuhudhuria ? Kijana ukiona nakupuuza ujue nimekuona mjinga.

Sababu la kuonyesha ushahidi wa kukiri shahada kwa Mashia huna,sasa nakuomba ushahidi unaoonyesha ya kuwa maswahaba hao hawkuhudhuria maishi ya mtume.
 
Nimekwambia Shahada sio jambo la mashia ni jambo la Mtume ambalo amefundisha , hivyo ukitaka ushahidi nikuletee Hadithi za mtume hakuna hadithi za Mashia uelewi nini wewe
Nacheka sana. Inaonekana hata maana ya Ushia huijui,nakupa dondoo Mashia wana kila kitu chao mpaka vitabu vya hadithi wanavyo vyao wenyewe.

Hivi hujiulizi kwanini kumekuwepo na Ushia ? Unapotea muda kijana.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Unaposema "sisi waislam hatuwatambui washia kama waislam" unakosea ulitakiwa useme "sisi wasuni hatuwatambui washia kama waislam"..... Unasema shia matendo yao hayako katika sheria za kiislam...kwanini Iran inaongozwa na sharia ileile?...ukisema washia wanafanya bida'a namimi nikuulize kwanini wasuni mnapinga Ndoa ya mutah ilihali ipo Kwenye Quran na hadith?? Au kuna mafundisho ya imam mwingine alikataza?? Na kama kuna imam alikataza mambo ya Quran hiyo siyo bida'a?
 
Nacheka sana. Inaonekana hata maana ya Ushia huijui,nakupa dondoo Mashia wana kila kitu chao mpaka vitabu vya hadithi wanavyo vyao wenyewe.

Hivi hujiulizi kwanini kumekuwepo na Ushia ? Unapotea muda kijana.

Kazi yangu nimemaliza.
Kuna mahali nilikuuliza 'kama Mashia siyo Waislam kwa nini wanaruhusiwa kwenda Hija na kuingia Makka?'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…