Unaona sawa kabisa Abubakar kuacha mambo ya msiba wa mtume na kuwa busy na uongozi ? hivi nyie hamna akili , vip haki za wale waliokuwa kwenye msiba juu ya kuchagua kiongozi zimezingatiwa vip ? Yaan mtume ata kuzikwa bado watu huku wanatifuana kugombea madaraka inashangaza sana
Kijana jambo la dini hujadiliwa kwa dini, usilete dhana na makisio ya kifalsafa, nilikuuliza hivi, tuambie kwa mujibu wa Uislamu ya kuwa kuzika ni jambo la lazima kwa watu wote au wachache wakifanya hutosheleza wengine?
Pili, uko wapi na ile hadithi ya mtume inayotaja mambo matatu ambayo hupaswa kuwahishwa ?
Tatu, lini katika uislamu Uislamu kiongozi alichaguliwa na watu wote ? Acha ujinga kijana, hakuna Demokrasia katika Uislam bali kuna shura kisha hufata kiapo cha utii.
Mashia mna mambo sana aisee.