Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Naipenda JAMHURI YA KIISLAMU YA WATU WA IRANI sababu msimamo wao wa kutoteteleka na U.S na anasonga mbele maisha yanaenda.
You Tube,Facebook, Instagram, WhatsApp, YouTube nakadhalika kule hakuna.
NAIPENDA NA NIMEIPENDA NA NITAIPENDA JAMHURI YA KIISLAMU YA WATU WA IRANI.Na sisi Muslims wote tuwaige wairani kwa umoja wao bila kutengana.
 
Kiongozi wa wa kidini wa Iran kwa sasa Ayatullah Khamenei ndio mwenye mamlaka makubwa kiutawala/kidini kuliko Raisi wa irani.

Ugomvi wa Iran na Israel unatokana na Israel kuikalia kimabavu ardhi ya Palestine.

Israel haitaki Iran iimarishe ngome yake kijeshi nchini Syria kwa sababu wanaona ni tishio kwao kiusalama na hawataki Iran ijiimarishe kimataifa.
 
umekuja kujibu au kujigamba?haya asante
 
Kinachowakera US kwamba Iran wanaishi maisha yao hawataki kufuatilia matakwa ya kidunia na sheria za UN kitu anbacho pia US wanagombana na NK i.e North Korea
 
Nilijuwa tu!!!!! Shia, Sunni, Ibadhi, Bohora..............
 
mbona kama mnatoa posa.
 
hongera sana kwa kufikia Syria brother.

huwa nakuwa admired sana na watu waliotembelea katika mataifa ya aina kama Syria. napenda wawe wanatupa experience yao badala ya kusikia habari toka CNN na BBC
 
HALAFU MJUE HIZI NI TAMADUNI NA KABILA KABISA ZA WATU JAPO NINYI MMEZIFUNIKA KWA JINA LA DINI.MSISAHAU HILI,NIMA MPARE NA MGWENO TU.
 
Nashangaa mpaka sasa hivi huyu Comred wangu huu Uzi hajaona kweli au ndio ana kata miwa huko shambani...?
JAMII FORUM INATAKA WATU WANAOJUA NA WANAOWEZA KUWAJUZA WENGINE SIO MIKWALA NA MAJIGAMBO HAMJUI HUMU KUNA MPAKA WATU WA DARASA LA SABA SASA HAO WATAPAJE TAARIFA ZA KINA BILA KUPATA MANGULI WA UFAFANUZI AACHE UBINAFSI.
 
Lengo langu si kuleta mtafaruku isipokuwa ni kutanabaisha hii ikhtilafu iliyopo baina ya hii mada.

Shia katika sala, sala yao huwa tofauti na Sunni kuanzia katika adhana, udhu, qibla na sala.

Kuhusu Qur'an Shia wanasema Qur'an wanayotumia Sunni haijakamilika na wana mas' hafu yao wakati Sunni wanasema Qur'an wanyoitumia imekamilika.

Shia kwao Muhammad s.a.w hakustahili Utume Bali Utume ulikuwa ni haki ya Ally wakati Sunni Muhammad ni Mtume na Ally ni sahaba.

Qibla cha kusalia cha Sunni kipo Makkah Saudi Arabia wakati Shia kipo Karbala Iraq.

Shahada kwa Sunni zipo mbili kwa Shia zipo tatu.

Hayo ni baadhi ambayo Sunni na Shia wanatofautiana. Muhimu ni kuelimishana kama kweli imethibiti mmoja wao hayupo sahihi na wala si kudharauliana au kukejeliana kwani hayo ya kudharauliana au kutoa lugha kali, chafu, Mtume ameyakataza na Qur'an vilevile imekataza.

Ndani ya Sunni vilevile kuna ikhtilafu kuna Salafi ambao wanawaambia wenzao katika wao ninyi ni watu wa bida'a( waliyozusha mambo katika dini) na wengine katika wao wanawaambia ninyi ni waharibifu katika dini.
 
Ulivyoandika unaonekana mlengo wako ulipo.
 
HASSAN NASRALLAH
 
HALAFU MJUE HIZI NI TAMADUNI NA KABILA KABISA ZA WATU JAPO NINYI MMEZIFUNIKA KWA JINA LA DINI.MSISAHAU HILI,NIMA MPARE NA MGWENO TU.
Ukiona jambo linahusishwa na dini ujue hapo tamaduni haina nafasi.

Miongoni mwa malengo ya dini ni kuzirekebisha tamaduni,hii huwa kwa aidha kukubali jambo la tamaduni na likaingia katika dini au kulikemea jambo la utamaduni. Hii nimekupa faida.

Sasa unaposema au kuzungumzia Jamhuri ya Irani ujue unazungumzia dini na tamaduni haina nafasi. Dini ni bora kuliko tamaduni.

Ama kuhusu kabila,bro kabila halina nafasi zaidi ya kujuana tu na kufahamiana.
 
JAMII FORUM INATAKA WATU WANAOJUA NA WANAOWEZA KUWAJUZA WENGINE SIO MIKWALA NA MAJIGAMBO HAMJUI HUMU KUNA MPAKA WATU WA DARASA LA SABA SASA HAO WATAPAJE TAARIFA ZA KINA BILA KUPATA MANGULI WA UFAFANUZI AACHE UBINAFSI.
Elimu haimtafuti mtu bali elimu inatafutwa.
 
Bro uko sahihi,na hapa natilia mkazo kwa maneno haya mafupi "Hakuna ibada yoyote ya mashia ikafanana na ibada ya waislamu". Huu ndio ukweli,kwa ufupi USHIA ni dini kando tofauti na uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…