Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Hujui unachokiandika bro,tena hujui hasa. Huwezi kuongelea Irani bila kuuongelea USHIA bro.

Ukiambiwa "Jamhuri ya kiislamu",akili yako inabidi ijue bali ndio hakika ya mambo kwamba dola inakuwa chini ya utawala wa kiislamu.

Sasa,ukishajua hilo,inabidi uujue kwamba Ushia ni uislamu au la.

Umenishangaza sana uliposema "Ushia au usuni yote ni uislamu tu". Kauli yako hii imeonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga katika hili.
Mjinga ni wewe unayeleta ubaguzi wa Shia na Suni mpaka kujikuta unatoka nje ya mada.
 
HAYA mambo yanarithishwa vizazi na vizazi.
enzi hizo wanaitwa wajemi.

Iran ana mpango wa kuweka base Syria ili iwe rahisi kuishambulia Israel kwa kutokea Syria.
jambo ambalo Israel analipinga..
dats Y?.miezi kadhaa kulikuwa na mzozo kuhus ndege ya Israel iliyotunguliwa Syria ...

bifu Kati ya Israel na Iran ni kama la ki historia Lina story ndefu tangu enz za uajemi.

maswala ya kidini na mzozo wa Palestine na Syria nayo yamechangia kwa kiasi kikubwa Iran na Israel kuwa na vuguvugu..kwa kipindi cha miaka ya hiv karibun..

kuna miaka Fulani majasusi wa mossad waliwafanya kitu mbaya wa Iran enz za utawala wa ki falme miaka ya 70+
ndipo mapinduzi yalipotokea na kufanya hata hatma ya mfumo wa uongozi kubadilika na kimsimika kiongoz wa din almaruf kwa ayattolah kuwa ndiye final say..
hapo ndipo wakaanza kujiita jamhur ya kiislamu..
ofcoz iran ni jamhur ya kiislamu but kutokana na mapandikizi..ya western imefanya miaka ya hiv karibun jamhur kuyumba..

yapo.mengi but nadhan nimekupa mwanga..utanisamehe kwa kushindwa kuvhambua vzur.

binafsi katika mataifa ya mashariki ya kiarabu Moja wapo ya taifa linalojitambua na halitishiki ni IRAN.
cyo kama kina Saudi wanavurugwa na kulipuana wenyewe kwa wenyewe mf now mdororo Kati ya
Saudia na Yemen.
Asante sana mkuu, umeelezea vizuri though
 
Ila bro nliomba angalau chanzo ninachoweza kupata hizo taarifa swali langu ukagoma. Ila vyanzo vyote ninavyovijua mimi vinaitaja Iran kama Jamhuri ya kiislamu. By the way najua pengine waweza kuwa unajua mengi kuhusu Iran na Uislam kwa ujumla, ila kama umekataa ku-share nasi pia uwe na amani
achana naye huyo anaijua Iran kwenye radio na TV Aki advance sana kwenye vijiwe vya kahawa na Google...
hapo atakuwa anakupiga mikwara tu..
angekuwa mjuaji angeenda direct
 
Wenyewe wanajiita Jamuhuri ya Kiislamu halafu wengine tukatae kwa sababu ya ubaguzi tu wa Usuni na Ushia,that's so crazy. Ni kama Catholics waseme Lutherans sio Wakristo,kazi ya ku judge aachiwe Mungu(for believers).
Ndiyo walivyofundishwa kuwa shiha siyo waislamu na sisi inabidi tukubali ili tusiwakwaze
 
-Ndiyo, mfano Saudia ana mgogoro na Iran hasa kwenye masuala ya Yemen

-Nijuavyo mimi, Washia ni jamii ya Waislam pamoja na wa-Sunni. Wanatofautiana kwenye baadhi ya mambo ila wote ni waislam.
Bro ulimwengu huu ukweli haujulikani na watu wenge isipokuwa wale ambso Allah amewarehemu.

Katika mambo ya kielimu hutakiwi kusema "Nijuavyo mimi....". Unatikiwa ujue uhalisia wa mambo kama wakubwa wako katika elimu wanavyoujua,yaani unatakiwa uujue ujweli halisi.

Kuna swali nataka nikuulize,umetumia vyanzo gani kujua ya kuwa Ushia ni jamii ya waislamu ?
 
Braza umeyatembelea lakini haujawahi kufika Iran.. Embu tulia uandike vizuri
Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.
 
Bro ulimwengu huu ukweli haujulikani na watu wenge isipokuwa wale ambso Allah amewarehemu.

Katika mambo ya kielimu hutakiwi kusema "Nijuavyo mimi....". Unatikiwa ujue uhalisia wa mambo kama wakubwa wako katika elimu wanavyoujua,yaani unatakiwa uujue ujweli halisi.

Kuna swali nataka nikuulize,umetumia vyanzo gani kujua ya kuwa Ushia ni jamii ya waislamu ?
Nijuavyo mimi kwa maana ya elimu nliyonayo (though kidogo). Kuhusu vyanzo, mi sio muislamu ila ndugu zangu wengi ni Waislamu (sio wa Bakwata).. Sijawahi kuona msikiti wa Washia na Wasunni. Wote wanasali pamoja
 
Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.

Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamhuri ya kiislaam ya watu wa Iran
 
Jerusalem Ni Centre of Business Tangu Waajemi(WaIRAN) na walipokuwa WaTawala.

ISrael ipo katikati Zone Ya Mipaka ya Vita.

Ni kweli kabisa Kiongozi wa Dini Iran Ndo Mtu Wa Mwisho kutoa maamuzi.
Na wanaitwa Ayyatollah,,,,Na wanaandaliwa katika dunia ya siri mno ndanibya Irani.

Huwa ni special selected Islamic Students,,,School zao wanazowachagua huitwa "Hawzah"

Kuna mambo mengi tu yanafanyika na yakuelezea.

Sema Dunia imefunikwa na propaganda mno.

Wengi hawaamini katika uwezo wa taifa hili.

Lakini Ni Taifa Imara zaidi kuwahi kutokea lenye itikadi za dini.
Naomba ujue kwamba hata ndani ya Irani US Dollar haitumiki na makampuni ya US hayaruhusiwi kufanya uwekezaji.
Asante sana kwa darasa walahi
 
Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.
NA ISRAEL NI USA NA USA NI EUROPE
Ushirikiano wa wadhungu ni kitu cha kuigwa walahi!
That’s all
 
Write your reply...ukiona muislam anang'ang'ana eti sijui washia sio waislamu ujue huyo ni wale wavaa surual fupi a.k.a wahabia,na ukiwa karibu nae huyo ukae nae kwa makini sana,maana hawa ni hardliner,hachelewi kukufyeka kichwa au kujilipua,na huo ndo ujinga walio nao baadhi ya hawa extremist
 
Nijuavyo mimi kwa maana ya elimu nliyonayo (though kidogo). Kuhusu vyanzo, mi sio muislamu ila ndugu zangu wengi ni Waislamu (sio wa Bakwata).. Sijawahi kuona msikiti wa Washia na Wasunni. Wote wanasali pamoja
Ukifika muda wa swala, kama ni mgeni, anaingia msikiti wowote na unaswali"

ni mambo machache yanayotofautiana ktk swala zinazosaliwa na shia\sunni. Lakini haziondoi uhalali wa mwingine kuswali ktk msikiti mwingine. Kilicho tofauti ni mapokeo tu, kutoka kwa maimaam waliopita, lakini quraan ni ile ile haibadiliki.
 
Write your reply...ukiona muislam anang'ang'ana eti sijui washia sio waislamu ujue huyo ni wale wavaa surual fupi a.k.a wahabia,na ukiwa karibu nae huyo ukae nae kwa makini sana,maana hawa ni hardliner,hachelewi kukufyeka kichwa au kujilipua,na huo ndo ujinga walio nao baadhi ya hawa extremist
Upo kinyume na ukweli. Onyesha uislamu wa Ushia uko wapi ?
 
Write your reply...ukiona muislam anang'ang'ana eti sijui washia sio waislamu ujue huyo ni wale wavaa surual fupi a.k.a wahabia,na ukiwa karibu nae huyo ukae nae kwa makini sana,maana hawa ni hardliner,hachelewi kukufyeka kichwa au kujilipua,na huo ndo ujinga walio nao baadhi ya hawa extremist
Bro kuvaa suruali fupi ni dhambi ?
 
Write your reply...kwa ufupi iran iko na history ndefu mno mtu kukuelezea bora ufanye reseach mwenyewe tu,kwa mambo ya military hebu nikupe hii link uifuate mwenyewehttps://defence.pk/pdf/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fi.pinimg.com%2Foriginals%2Fe4%2Fdc%2Fc4%2Fe4dcc4de6509e20a1f1b18cd68bd66fd.jpg&hash=ebace7e7001f53b4d0742e1b46ed61ee
 
Back
Top Bottom