Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Write your reply...huu ugomvi ukianzia genesis yake uko kiukoo,kuna mtu anaitwa bin Abdu sham huyu ni mtoto wa Abd manaf bin qusai wakiishi mecca na ni makureishi,family ya umawia wanatokana na huyu abdi manaf kupitia kupitia abdi sham,wakati Mohamed anatokana na mtoto aitwae Hashim,ndo maana hawa huitwa hashemite,yaani wana wa Hashim,hizi family mbili zilikuwa na mgogoro hasa baada ya mtume kuiteka maka,hawa umawia wakajifanya wameacha kumpinga mtume na kuwa waislamu,lakini kumbe hawa ndo baadae wakaja kuua mjukuu wa mtume Husein aliuliwa na Yazid mtoto wa muawia
 
Nimeingiwa na huruma ya kielimu kwa mbali. Nataka nikupe ishara ya kukusaidia,kwa mtindo huu.

Hivi ushawahi kusikia mataifa ya kiislamu yaituhumu au yakiwa dhidi ya Irani ?

Kama hujawahi kuisikia basi vyanzo vyako vitakuwa vina dosari sana.

Iko wazi taifa la Irani liko chini ya USHIA. Je unaujua USHIA ?

Ukinijibu maswali haya machache na rahisi sana. Kuna mwongozo nitakupa,lazima tuwe na tabia ya kuchakarika katika kuutafuta ukweli.
Me naona kamavile hauna haja yakumsaidia kujua.
Ni matone mangapi ya damu yatakayokauka mwilini mwako ikiwa utamueleza kwa kina jinsi unavyofahamu?
Usijekuta hata unachokijua wewe kikawa na kasoro ukapata kusaidiwa hapa.
Usisahau kwamba yeye ni mleta uzi ila wengi tunausoma hapa, wengi tunajifunzia hapa (including you). So be open to share, acha hizo za ujuvi wakutoa hints, hata wewe hazikusaidii, hautaongeza kitu.
 
Write your reply...hivi mwajua kuwa wafuasi wa mwanzo wa mashia ndo ilikuwa family ya mtume?,mwajua kuwa hata kabla mtume hajazikwa hawa watu wao walikuwa busy kuchagua mrithi wa mtume wakati Ali yuko busy na mazishi na kwamba baadae walihakikisha wanaua family yote ya mtume?
Haya maaapyaa
 
Tatizo unakurupuka sana,tuliza akili kisha soma nilichokiandika taratibu.Usijidai unasoma nilichokiandiki bali soma nilichokiandika,mwanzo unasema umegundua mimi ni SHIA ITHNASHARIA halafu hapa unauliza tena,sasa ulichokigundua nini bro ?
itakuwa umeniquote vibaya akhy wangu sijasema mm hvyo akhy fuatilia comment viziri
kwa mfano mm ukiniuliza wewe ni msunni au mshia na mm nitaleta za uswahili badala ya jibu nitaleta swari nami nakuuliza mtume alikuwa dhehebu gani ?ukikosa jibu naachana na wwewe mana nakuona bendera fata upepo badala kufata QURAN na SUNNAH alotuachia mtume

mtume katuachia QURAN na SUNNAH sio Usunni wala ushia hvyo kumtenga au kumsema vibaya muislam mwenzio au kumtoa katika uislam kisa msunn au mshia huo ni unafiq mkubwa

halafu mara kumi kumshabikia muirani mshia anayewapenda waislam wenzake kuliko kumshabikia msunni mnafiki Saudia aneyebomoa waislam wenzie kuwatenga waislam wenzake na kuwakumbatia makafili wenye nia ya kuusambalatisha uislam
 
Write your reply...ha ha ha,abusaid siyo mapya sema wewe hujishughulishi kutafuta ukweli,achana na hawa wanazuoni sijui,tafuta mwenyewe history kupitia mainstream sources,siyo mtu akwambie sijui imam shafii kafanyaje,wengi wao walikuwa na interest zao tu,kisha tumia common sense kufanya judgement,hivi unajua kwanini utawala wa saud huwa unavunja maeneo ya kihistory ya kiislamu?walifika hadi kujenga choo cha public eneo alipokuwa akiishi mke wa mtume,ndo ujue uhasama ulidumu vizazi kwa vizazi,jarivi kusoma Abassis empire,umayyad empire step by step,au tukupastie?
 
Nataka nikusaidie,ila ukijibu maswali haya itakuwa rahisi sana.

Unakubali jamhuri ya Irani iko chini ya Mashia kiitikadi na ki mwenendo ?
Napata mashaka kama kweli unakijua hiki kitu kama jinsi unavyojifafanua.
Nimesoma comment zako, mara "nataka nikusaidie ila kwanza jibu haya maswali", mara "nimekuonea huruma ya kielimu". Napata shaka sana na hiyo elimu yako, nakama nikweli umeelimika basi bado umebaki na vijitabia vingi sana vyakijinga.
 
Nataka nikusaidie,ila ukijibu maswali haya itakuwa rahisi sana.

Unakubali jamhuri ya Irani iko chini ya Mashia kiitikadi na ki mwenendo ?
Hebu nisaidie na mimi, niulize tu swali lolote maana nipo tayar kwa msaada wako.
 
Me naona kamavile hauna haja yakumsaidia kujua.
Ni matone mangapi ya damu yatakayokauka mwilini mwako ikiwa utamueleza kwa kina jinsi unavyofahamu?
Usijekuta hata unachokijua wewe kikawa na kasoro ukapata kusaidiwa hapa.
Usisahau kwamba yeye ni mleta uzi ila wengi tunausoma hapa, wengi tunajifunzia hapa (including you). So be open to share, acha hizo za ujuvi wakutoa hints, hata wewe hazikusaidii, hautaongeza kitu.
Mtoa mada atakuwa ameshayaona majibu yangu.
 
Kwahiyo hujui kama dola ya Irani iko chini ya Mashia si ndio ?

Dola ile iko chini ya mashia muasisi wa dola ile anaitwa Khomeini na wasasa anaitwa Ali Khamenei.

Ushia si uislamu.

Sasa nakuuliza swali la mwisho ili nikamilishe msaada wangu kwako.

Wewe ni muislamu ?
Tupe sababu kwanini Ushia si uislam wakati uislaam ni kukubali kwa hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni mjumbe wa Mungu sasa hao washia wanaamini nini mpaka wakatoka ktk uislaam?
 
Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.
Wee jamaa unapropaganda sijawahi kusikia. Eti Taifa lenye nguvu za silaha Israel,ha ha ha. Propaganda tupu hizo ndugu yangu. Bila US,kesho yake Israel inachakazwa. Ndiyo maana ya zile kura za turufu ili kuikingia kifua.
 
Tupe sababu kwanini Ushia si uislam wakati uislaam ni kukubali kwa hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni mjumbe wa Mungu sasa hao washia wanaamini nini mpaka wakatoka ktk uislaam?

Uislamu hauishii hapo tu bro. Ushia si uislamu sababu unakwenda kinyume na misingi ya uislamu.

Naanza na hii,huwezi kuwa muislamu bila shahada,hii inaeleweka wazi. Shahada ina sehemu mbili kukubaki na kukanusha,na ni kwa Allah na mtume wake. Tafuta shahada ya mashia kisha uwaulize shahada hiyo wameipata,wakikupa ushahidi Allah aniangamize.

Mashia kwao wao maimamu wao ni maasumu,yaani wamekingwa na makosa kwa maana hawakosei,huu ni msingi katika dini ya ushia. Msingi huu unaenda kinyume na uislamu. Hakuna binadamu asie kosea.

Mashia wanawatukana maswahaba wa mtume,maswahaba ambao Allah amewaridhia na kuwakubali.

Na kuna mengi,mashia wanasema kuenda kuzuru kaburi la hussein karbala ni bora kuliko kwenda hija mara kadhaa,huku ni kinyume na nguzo za kiislamu.

Bro ushia asili yake ni uyahudi,kuna mambo mengi sana yanayoutoa ushia katika uislamu. Kwa ufuoi nakomea hapa.
 
Japokuwa umenijibu kihuni kwa kauli yako ya mwisho. Sitakujibu kihuni,fatilia mitandaoni au endelea kuwauliza watu zaidi na zaidi.

Yaani sio lazima uende Tehran. Wewe komaa kama unataka kuujua ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha uhovyo wako na mabishano ya kipuuzi. Hili si jukwaa la mizaha na mihemko. Kama una lililo la tofauti si uliseme tujifunze toka kwako?
 
Napata mashaka kama kweli unakijua hiki kitu kama jinsi unavyojifafanua.
Nimesoma comment zako, mara "nataka nikusaidie ila kwanza jibu haya maswali", mara "nimekuonea huruma ya kielimu". Napata shaka sana na hiyo elimu yako, nakama nikweli umeelimika basi bado umebaki na vijitabia vingi sana vyakijinga.
Asante sana bro ! Hapo nimezungumzia masharti huwezi kujadiliana na mtu bila kuweka masharti na ujinga ni dhidi ta elimu. Umenituhumu ya kwamba nina vijitabia vya kijinga au kama ulivyosema wewe,unaweza kuonyesha ujinga wangu uko wapi ?

Tatizo elimu bro,huitwi una elimu kama huna adabu za kielimu hata kama ukiw umesoma vitabu maelfu kwa maelfu.

Ninachokiandika kinafata adabu za kielimu,na kumuwekea mtu masharti ndio elimu yenyewe.

Kupitia masharti mambo hukaa sawa na kueleweka kwa wepesi sana. Siwezi kuacha masharti,na kuhurumiana sio tu kumpa mtu msaada wa kimaada bali kumuhurumia mtu kielimu ni bora zaidi.
 
itakuwa umeniquote vibaya akhy wangu sijasema mm hvyo akhy fuatilia comment viziri
kwa mfano mm ukiniuliza wewe ni msunni au mshia na mm nitaleta za uswahili badala ya jibu nitaleta swari nami nakuuliza mtume alikuwa dhehebu gani ?ukikosa jibu naachana na wwewe mana nakuona bendera fata upepo badala kufata QURAN na SUNNAH alotuachia mtume

mtume katuachia QURAN na SUNNAH sio Usunni wala ushia hvyo kumtenga au kumsema vibaya muislam mwenzio au kumtoa katika uislam kisa msunn au mshia huo ni unafiq mkubwa

halafu mara kumi kumshabikia muirani mshia anayewapenda waislam wenzake kuliko kumshabikia msunni mnafiki Saudia aneyebomoa waislam wenzie kuwatenga waislam wenzake na kuwakumbatia makafili wenye nia ya kuusambalatisha uislam
Bro humjui mshia wewe,mashia wana kitu kinaitwa Taqiyya na ukitaka kuwajua mashia soma vitabu vyao vya asili. Unaijua dola ya Swafawiyya ?

Hakuna hapa duniani dola inayofata uislamu na kuusimamia kuliko saudia.

Sitaki kuleta mjadala ndani ya mjadala ila nimekupa akiba ya maneno na ziada yake.
 
Nimekupa udhuru bro ! Yaani nimekupuuza.
Wewe ndio hasa ninapaswa kukupuuza tangu sasa maana unaleta ujuaji usio na manufaa kwako wala yeyote. Huyu bwana mkubwa ameielezea Iran kwa kadiri ya anavyofahamu kupitia vyanzo ambavyo vipo wazi kabisa. Umekuja wewe tena ukiwa mwenye jazba kama umechukuliwa amana yako mfukoni ukimkosoa. Kwa upole kabisa, akakuomba umpe muongozo wa sehemu anapoweza kupata maelezo ya ziada apate kujua zaidi...hilo hujalifanya badala yake unaanzisha ubishi wa kienyeji as if tupo CHIT CHAT, nikisema wewe ni mpuuzi nitakuwa nakosea?
 
Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.

Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa
 
Wewe ndio hasa ninapaswa kukupuuza tangu sasa maana unaleta ujuaji usio na manufaa kwako wala yeyote. Huyu bwana mkubwa ameielezea Iran kwa kadiri ya anavyofahamu kupitia vyanzo ambavyo vipo wazi kabisa. Umekuja wewe tena ukiwa mwenye jazba kama umechukuliwa amana yako mfukoni ukimkosoa. Kwa upole kabisa, akakuomba umpe muongozo wa sehemu anapoweza kupata maelezo ya ziada apate kujua zaidi...hilo hujalifanya badala yake unaanzisha ubishi wa kienyeji as if tupo CHIT CHAT, nikisema wewe ni mpuuzi nitakuwa nakosea?
Wewe unaonaje utakuwa umekosea au umepatia ?

Nimemalizana na wewe.

Walio kuja kwa busara na kielimu nimesha wakirimu.
 
Back
Top Bottom