Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.

Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote,unakimbia swali
Mwenzio anaomba kujua na ww una mpiga swali.
Wabongo bwaaaana!
 
Salaam wakuu

Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.

Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa wa Iran(rais)?
Pili, Iran haijawahi kupigana vita na Israel, nini chanzo cha uhasama wake na taifa hilo la Wayahudi (Israel)?
Tatu, Kwa nini Israel haitaki kabisa kuiona Iran ikiwa na ngome imara huko SYRIA?
hapo kwenye maandishi mekundu, Jibu ni NDIO.
Kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa (raisi). Wakati raisi wa Iran Mahmoud Ahmadnejad akigombea awamu ya pili, wananchi waliandamana akidai ameiba kura, hivyo uchaguzi. Kiongozi mkuu wa kidini Ayatollah Khamenei alitoa tamko kwamba matokeo ni halali na wananchi inabidi wakubaliane na matokeo, na habari ikaishia hapo hapo. Ahmadnejad akaendelea kuongoza muhula wa pili,.
 
hapo kwenye maandishi mekundu, Jibu ni NDIO.
Kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa (raisi). Wakati raisi wa Iran Mahmoud Ahmadnejad akigombea awamu ya pili, wananchi waliandamana akidai ameiba kura, hivyo uchaguzi. Kiongozi mkuu wa kidini Ayatollah Khamenei alitoa tamko kwamba matokeo ni halali na wananchi inabidi wakubaliane na matokeo, na habari ikaishia hapo hapo. Ahmadnejad akaendelea kuongoza muhula wa pili,.
Shukrani, tupe jibu la pili Israel na Iran wanagombania nini?
 
Write your reply...kuna watu wanadhani ushia umeletwa iran na khomein,ukweli ni kuwa ushia upo huko tangu enzi zza Abassid empire,hasa hasa baada ya muawia kukkamata madaraka ya dola ya kiislamu,walianza safisha safisha kudeal na wasiowanga mkono,watu waliokuwa karibu na mtume,nao wakakimbilia maenea ya persia,walikuja kurudi baada ya mjombak na mtume kuanzisha Abassid empire baada ya kuwaangusha muawia empire ambao masalia yao wakakimbilia Hispania,ni wakati wa Abbasid empire pale Baghdadi ndo ushia ukaota mizizi persia
 
Bro humjui mshia wewe,mashia wana kitu kinaitwa Taqiyya na ukitaka kuwajua mashia soma vitabu vyao vya asili. Unaijua dola ya Swafawiyya ?

Hakuna hapa duniani dola inayofata uislamu na kuusimamia kuliko saudia.

Sitaki kuleta mjadala ndani ya mjadala ila nimekupa akiba ya maneno na ziada yake.
Wahabiyuun mna shida sana, kuwatukana na kuwavunjia heshima waislamu wenzenu mnaona ufahari. Ugaidi umeshamiri duniani kwa sababu ya itikadi za namna hii
 
Wee jamaa unapropaganda sijawahi kusikia. Eti Taifa lenye nguvu za silaha Israel,ha ha ha. Propaganda tupu hizo ndugu yangu. Bila US,kesho yake Israel inachakazwa. Ndiyo maana ya zile kura za turufu ili kuikingia kifua.
THE GOOOD THING WITH ME IS THAT I HAVE EMOTIONAL INTELLIGENCE
 
hongera sana kwa kufikia Syria brother.

huwa nakuwa admired sana na watu waliotembelea katika mataifa ya aina kama Syria. napenda wawe wanatupa experience yao badala ya kusikia habari toka CNN na BBC
Asante sana mkuu, nasukuru sana kama taarifa yangu imekuwa msaada kwako, yes nimetembea mbara zote duniani isipokuwa tu australia, ambapo natarajia kwenda next year 2019, enjoy your weekend
 
Asante sana mkuu, nasukuru sana kama taarifa yangu imekuwa msaada kwako, yes nimetembea mbara zote duniani isipokuwa tu australia, ambapo natarajia kwenda next year 2019, enjoy your weekend
shukrani sana. god bless you. pls don't forget to share your trip experience when your are in australia. safe journey.
 
Wahabiyuun mna shida sana, kuwatukana na kuwavunjia heshima waislamu wenzenu mnaona ufahari. Ugaidi umeshamiri duniani kwa sababu ya itikadi za namna hii
Mkuu utaanzisha mjadala mwingine hapa
 
Asante mkuu, kwa maana hiyo kumbe Iran anaweza kutumia Syria kama sehemu ya kuishambulia Israel kutokea?
Kweli kabisa na ndio israel haiwezi kabisa ruhusu iran kuwa na wanajeshi hapo syria, kaa utafuatilia taarifa utagundua kuwa israel kila mara inapiga bomb kambi za syria ambazo israel inajua kuna wana iran wanajeshi.
 
Rise of the Abbasid Empire (c. 750 CE)
The Umayyad dynasty was overthrown
by another family of Meccan origin, the
Abbasids, in 750 CE. The Abbasids
distinguished themselves from the
Umayyads by attacking their moral
character and administration. In
particular, they appealed to non-Arab
Muslims, known as mawali, who
remained outside the kinship-based
society of the Arabs and were
perceived as a lower class within the
Umayyad empire. The Abbasid dynasty
descended from Muhammad ‘s
youngest uncle, Abbas ibn Abd al-
Muttalib (566–653 CE), from whom the
dynasty takes its name. Muhammad
ibn ‘Ali, a great-grandson of Abbas,
began to campaign for the return of
power to the family of Muhammad, the
Hashimites, in Persia during the reign
of Umar II, an Umayyad caliph who
ruled from 717–720 CE.

Iraq, 765 CE
Power in Baghdad
The Abbasids moved the empire’s
capital from Damascus, in modern-day
Syria, to Baghdad, in modern-day Iraq,
in 762 CE. The Abbasids had depended
heavily on the support of Persians in
their overthrow of the Umayyads, and
the geographic power shift appeased
the Persian mawali support base. Abu
al-‘Abbas’s successor, Al-Mansur,
welcomed non-Arab Muslims to his
court. While this helped integrate Arab
and Persian cultures, it alienated the
Arabs who had supported the
Abbasids in their battles against the
Umayyads. The Abbasids established
the new position of vizier to delegate
central authority, and delegated even
greater authority to local emirs. As the
viziers exerted greater influence, many
Abbasid caliphs were relegated to a
more ceremonial role as Persian
bureaucracy slowly replaced the old
Arab aristocracy.
The Abbasids, who ruled from
Baghdad, had an unbroken line of
caliphs for over three centuries,
consolidating Islamic rule and
cultivating great intellectual and
cultural developments in the Middle
East in the Golden Age of Islam. By 940
CE, however, the power of the
caliphate under the Abbasids began
waning as non-Arabs gained influence
and the various subordinate sultans
and emirs became increasingly
independent.
 
Back
Top Bottom