Kwajins ninavyoelew kidogo kuhusu Irani...
√Irani ni nchi inayoongozwa kwamisingi na sharia za dini ya kiislamu na hili lilitokea soon baada ya kufanyika kwa revolution mnamo miaka ya 1970's. baada ya revolution hii kufanyika ndio utawala mpya ukaitangaza irani kuwa nchi itayoongozwa na sharia za dini ya kiislamu....
√Irani ina mfumo wa utawala ambao kimsingi unatofautiana na nchi nyingne kuna vitu vitatu 1) Supreme leader 2)president 3) paliament...!! yaani suprime leader huyu nikiongoz anayesimamia utekelezwaji wa sharia na kufuata misingi ya kiislam na huy ndie anayeorganiz everything kuhusian ns taratibu zotd zakidini...
Raisi huyu anachaguliwa na watu lakin anakuw passed na huy suprim leader lakin pia inabid awe approved na tume y uchaguz ambay inasimamia katiba n.k na kwauelewa wang rais wa jamuhuri ya kiislam y irani analimitation ya muda madarakan ila suprim leader yeye hana!
Baada ya raisi then kun paliament ambao memba wak wanachaguliw kutokea majimbon lakin pia nao nilazima wawe waislam ten wanaoijua dini vizur na wawe passed na hi tum inayosnamia uchuguz na katiba....(administrative system ya iran kidogo ipo complicated lakin raisi anamamlaka na ndio mkuu wa nchi ila hunge linauwezo wa kumtoa madarakan endapo vitu havitaenda sawa).
√kuhusu battle ya Iran na Israel nchni syria kidgo kun mitazamo tofautitofaut lakin huasama unaanza kutrace kuanzia mwak 1948's pnd tu umoja wa mataifa ulipoitangaza Israeli kam nchi! so hap kuhusu huu uhasam na kwann kil mmoj anainterest syria inamaelezo meng san kwaninavyofaham so ndio hvyo bro!