Mnakosea sana kumfananisha Rais wetu na hao wengine.hapa kwetu mkuu hata awe mkali vipi au awe na mapungufu vipi lakini baada ya kipindi cha miaka kumi hupisha na kumuachia mwingine,hii ni tabia ya kuigwa na mataifa mengine yenye viongozi wanao ng'ang'ania madaraka,nionapo mTanzania anajaribu kudharau hili binafsi namchukulia siyo mTanzania au ni mTanzania mwenye shida kifikla.mtu anadharau tulichonacho ilihali mataifa jirani na mengine ya mbali ukienda unawasikia wakiisema vizuri Tanzania.tuna shida ya kuponda sana kilicho chetu chema na kusifia kilicho cha watu kibaya na kukigeuza kua ndiyo chema,kisa tu mapenzi ya vyama.tubadilike na tuwe wazalendo.Rais wa awamu ya 3 alikua mkali pia kama huyu wa awamu ya 5,lakini kipindi chake kilipoisha alipisha kwa amani kabisa na kumpa kijiti mkuu mwingine,lakini mtu anajaribu kufananisha na viongozi wa nchi nyingine ambao ni wababe na hawataki kutoka Ikulu,mtu anajua kabisa lakini anajifyatua akili na kusema maneno kana kwamba wanaosoma alichoandika ni hawana akili.tupende nchi yetu,tupende na kuwaombea viongozi wetu na tuache mihemko isiyo na maana wala faida.Nkurunzinza, MU7, Kagame na Magufuli wanavyopenda madaraka watasababisha mapinduzi.
Hujui maana ya uzalendo na hujui ashara za dikteta kaa kimyaMnakosea sana kumfananisha Rais wetu na hao wengine.hapa kwetu mkuu hata awe mkali vipi au awe na mapungufu vipi lakini baada ya kipindi cha miaka kumi hupisha na kumuachia mwingine,hii ni tabia ya kuigwa na mataifa mengine yenye viongozi wanao ng'ang'ania madaraka,nionapo mTanzania anajaribu kudharau hili binafsi namchukulia siyo mTanzania au ni mTanzania mwenye shida kifikla.mtu anadharau tulichonacho ilihali mataifa jirani na mengine ya mbali ukienda unawasikia wakiisema vizuri Tanzania.tuna shida ya kuponda sana kilicho chetu chema na kusifia kilicho cha watu kibaya na kukigeuza kua ndiyo chema,kisa tu mapenzi ya vyama.tubadilike na tuwe wazalendo.Rais wa awamu ya 3 alikua mkali pia kama huyu wa awamu ya 5,lakini kipindi chake kilipoisha alipisha kwa amani kabisa na kumpa kijiti mkuu mwingine,lakini mtu anajaribu kufananisha na viongozi wa nchi nyingine ambao ni wababe na hawataki kutoka Ikulu,mtu anajua kabisa lakini anajifyatua akili na kusema maneno kana kwamba wanaosoma alichoandika ni hawana akili.tupende nchi yetu,tupende na kuwaombea viongozi wetu na tuache mihemko isiyo na maana wala faida.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Mtu makini atabaki kua mtu makini hata kama utaendeshwa na ujinga au mapenzi ya kisicho chema.watu wote ni wa MUNGU na anawatambua toka tumboni mwa mama zao,cheo cha RAIS kilijulikana na MUNGU toka enzi na enzi,kura za watu huja kukamilisha tu.hivyo basi RAIS wa nchi ni zao la MUNGU.na mapenzi ya kisiasa kwa mtu aliye gizani ni kitu kingine na kitabaki kua chake kama ulivyoHujui maana ya uzalendo na hujui ashara za dikteta kaa kimya
Tangia tumeingia ktk mfumo wa vyama vingi, ni kipindi gani watu wanaandamana eti wanataka raisi aongezewe muda!!? Yani hata term ya Kwanza haijaisha eti watu wahitaji kuongezewa muda! Ni jambo la kutafakari sana.Mnakosea sana kumfananisha Rais wetu na hao wengine.hapa kwetu mkuu hata awe mkali vipi au awe na mapungufu vipi lakini baada ya kipindi cha miaka kumi hupisha na kumuachia mwingine,hii ni tabia ya kuigwa na mataifa mengine yenye viongozi wanao ng'ang'ania madaraka,nionapo mTanzania anajaribu kudharau hili binafsi namchukulia siyo mTanzania au ni mTanzania mwenye shida kifikla.mtu anadharau tulichonacho ilihali mataifa jirani na mengine ya mbali ukienda unawasikia wakiisema vizuri Tanzania.tuna shida ya kuponda sana kilicho chetu chema na kusifia kilicho cha watu kibaya na kukigeuza kua ndiyo chema,kisa tu mapenzi ya vyama.tubadilike na tuwe wazalendo.Rais wa awamu ya 3 alikua mkali pia kama huyu wa awamu ya 5,lakini kipindi chake kilipoisha alipisha kwa amani kabisa na kumpa kijiti mkuu mwingine,lakini mtu anajaribu kufananisha na viongozi wa nchi nyingine ambao ni wababe na hawataki kutoka Ikulu,mtu anajua kabisa lakini anajifyatua akili na kusema maneno kana kwamba wanaosoma alichoandika ni hawana akili.tupende nchi yetu,tupende na kuwaombea viongozi wetu na tuache mihemko isiyo na maana wala faida.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Rais wetu anapenda madaraka kwa lipi au bila kumtaja siku aijakamilika?Nkurunzinza, MU7, Kagame na Magufuli wanavyopenda madaraka watasababisha mapinduzi.
Mimi ndio rais wa Tanzania. Kwani nani asiyejua yeye ni rais. Iyo ndio sifa kuu ya madRais wetu anapenda madaraka kwa lipi au bila kumtaja siku aijakamilika?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app