Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The United Republic of Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Neno Jamhuri ya Muungano ni moja na linawakilisha Tanzania. Kwahiyo ukosa sahihi kabisa. Vinginevyo labda waiite ''Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar''
Kuna tofauti kati ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sahihi ni ipi?