Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Serikali ya mapinduzi Zanzibar

Wana jeshi na bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uisilamu unapigwa sana vita nduguyangu, lakini pamoja na haya yote hawatafanikiwa,
Mshana anatoa hoja kwamba kuna baadhi ya vitu zanzibar inajiamulia kama nchi na ina serikali yake lkn Tanganyika haina!! Yaan Tanganyika inategemea serikali ya Muungano. Ndio maana akatoa na mifano ya baadhi ya mamlaka mfn TRA(ZRA), TPA(ZPA) etc. Sasa wew wapi umeona anapiga vita dini ya uislam????
 
Na kwanini hoja nyingi za kuudai uhalali wa muungano au Tanganyika huru huja sana kipindi ambacho ama rais atakuwa ni muislamu au ni kutoka zanzibar??
Kuna kitu waislam mmekuja nacho sio kizuri kabsa. Sasa ivi kiongozi mweny kusadikika ana imani ya kiislam akikosolewa kdg tu ata kama kweli kakosea nyie hamuoni kosa lake mnakuja na milio mingi kusema kisa ni Muislm dah acheni hii tabia italeta hatari kubwa sana.
 
Msikilize huyu
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

umeongea mengi sana. mchawi ni CCM [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu taifa linaelekea kubaya sana. Yote haya yameletwa na dp world. Sheikh anazungumzia mkataba wa madaraja yaliyojengwa na mjomba ila atambue kwamba mjomba hakuweka kipande chchte cha ardhi rehan ili hayo madaraja yajengwe
Bado tuna safari ndefu kwenye hili... Tuombe Mungu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama suala la bandari linachochewa na hisia za udini. Angehusianisha na Utanganyika angeeleweka, lakini udini, ametoka nje ya mstari kabisa.

Mbona kuna Waislamu wengi tu wasiokubaliana na huo mkataba? Hivi Profesa Shivji si Muislamu?

Kwa hapo, Shehe kakosea sana. Pengine naye anatumiwa na Wanasiasa.
 
Kwa hapo, Shehe kakosea sana. Pengine naye anatumiwa na Wanasiasa.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aiepushe Tanganyika na vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just take good note of this: tarehe 26 April 1964 Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Tarehe 29 Oktoba 1964 jina la nchi likabadilishwa na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ilikubalika tangu awali Zanzibar ibakie na uhuru mkubwa wa kujitawala (autonomy) ndani ya Muungano.

Swali kubwa: ni nani alikuwa mhandisi wa muungano huo na lengo lake kuu lilikuwa lipi hasa? Bila kusahau muungano wa kisiasa wa 5 Februari 1977 uliounganisha TANU na ASP kuunda CCM. Hakuna kinachotokea hivi hivi tu na wananchi pande zote za muungano hawakushirikishwa. Hakukuwa na referendum. Walikusanywa kushangilia tu.
 
Sisi wauza wakulima na wauza ndizi mbona haturuhusiwi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…