Nikisema bank namaanisha kama BOT je wanaset regulations zipi ktk currency? Wanamanage vip au wanapata nguvu gani kuregulate currency na activities za kiuchumi..
Mvua inaendelea kunyeesha tutaona wapi panapovuja
Any way Zanzibar ina wakaazi hawazidi m 2 tuu so hawa huku bara sijui wataenda Oman au England maana nyuzi za namna hii rasmi ni zakutugawa na wala sii kujenga
Nipo hapa naendelea kusoma comment