Jamhuri ya Panama | República de Panama

Jamhuri ya Panama | República de Panama

Hizi nchi za America Kusini zinapanda kwa kasi sana kiuchumi, sijajua sisi Africa (hasa Kusini mwa jangwa la Sahara) tulikosea/ tunakosea wapi.
Elimu baina ya watu wake, viongozi wa mataifa hayo na kizazi cha miaka ya uhuru wa Afrika ni tatizo moja kutokupata maendeleo.
 
Hizi nchi za America Kusini zinapanda kwa kasi sana kiuchumi, sijajua sisi Africa (hasa Kusini mwa jangwa la Sahara) tulikosea/ tunakosea wapi.
Zilikuwa na uchumi mzuri hata kipindi sisi tunapambana na mabeberu...Tunawahesabia tu hawa,ngoja.
 
Nilivisit mwaka jana januar kutokea bogota airport kisha Panamá city mji mzuri
Nilikwenda hadi antigua
Niliishi carthedral kwa siku zote mule ndani ambamo ni makazi ya askofu Mkuu na Majengo mengi mazuri na wanaeneo kubwa sana,
Barabara kuu imenyooka unaona kanisa
 
Madem was Colombia wanapatikana?
 
Nilivisit mwaka jana januar kutokea bogota airport kisha Panamá city mji mzuri
Nilikwenda hadi antigua
Niliishi carthedral kwa siku zote mule ndani ambamo ni makazi ya askofu Mkuu na Majengo mengi mazuri na wanaeneo kubwa sana,
Barabara kuu imenyooka unaona kanisa
Safi Sana! Mkuu, ilikuwa personal tour au kazi?
 
Back
Top Bottom