Jamhuri ya Paraguay | República del Paraguay

Jamhuri ya Paraguay | República del Paraguay

Kwa atakayehitaji kufika Paraguay anaweza kuomba Visa kupitia Balozi zifuatazo;-

Embassy of Paraguay in Pretoria, RSA., Embassy of Paraguay in Rabat, Maroc., na Embassy of Paraguay in Cairo, Egypt.
 
Mkuu Itaipu Dam ni bwawa namba mbili duniani nyuma ya Three Gorges ya Hubei, China.

Itaipu Dam inahadi Production Studio maana bwawa hili huwaka rangi mbalimbali na maumbo mbalimbali, huku production team ikiendesha suala zima.

Lilijengwa kwa $19.6 billioni sawa na $48.2 billioni ya leo. Mwaka 2016 lilizalisha 103,098,366 megawatt kwa saa na kuweka record ya dunia ambayo haijavunjwa hadi leo.
Aisee,watu wamewekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paraguay!!! Very beautiful country.Ntafurahi siku nikiikanyaga!!
Ila I really don't understand why she has such a low GDP compared to her neighbours....Unajua GDP ya Tz ipo juu kuliko ya Paraguay!!! Population tu ndo imetutofautisha;wao 7M sisi 60M.Hiyo inafanya Per Capita yao ituache kwa kiasi kikubwa.
 
Inatambulika kama nchi inayokua kiuchumi.
 
Back
Top Bottom